inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
namngoja brazil nilale vizuriWanangu Algeria ndo Mwarabu pekee wa kufanya nae kazi wengine wote ni mbwaa!!dah wananipoza machungu japo kwa hel za maandazi
namngoja brazil nilale vizuriWanangu Algeria ndo Mwarabu pekee wa kufanya nae kazi wengine wote ni mbwaa!!dah wananipoza machungu japo kwa hel za maandazi
Tushirikishe mkuu tumshughulikie na sisishenzy..nimempiga mhindi,jana nilimkosa 5m+ sababu ya egypty,leo nmempiga mia nne
Shirikisha hayo madinishenzy..nimempiga mhindi,jana nilimkosa 5m+ sababu ya egypty,leo nmempiga mia nne
congo na brazil niliweka over 3.5,algeria over 2.5..nikatia ten..sema brazil kanijambisha sana..maana alipata red..hadi dk ya 85 ilikua 2-1..Tushirikishe mkuu tumshughulikie na sisi
Mkuu betting haitaki papala tulia fanya maamuzi sahihi, usipende odds nyingi, odds chache stake kubwa mbona utafurahi...!!! Mfano huu hapa.... Nimeanza na 20000 now nina 88,000terrible day again
wanangu kama inawezekana tuacheni tu kubeti
maumivu daily
Mechi ya Elfsborg over 0.5 HT