Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijawahi kuona Kampuni babaishaji kama PARIMATCH[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kutwa kuomba wateja wao kutuma Vitambulisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yaani ukitaka kutoa hela zaidi ya Elfu 21 nongwa.

Aiseee.
 
******* mno. Niliwaachiaga na pesa wakae nazo kondoo hao. Kuingiza hawakupi masharti kutoa kana kwamba unakopa Bank!
 
Hamieni Betpawa mle maisha.
 
******* mno. Niliwaachiaga na pesa wakae nazo kondoo hao. Kuingiza hawakupi masharti kutoa kana kwamba unakopa Bank!
Waceng sana aseee....Dadeeeki, Kampuni ina ubabaishaji mwingi.

Now nimeamini yule jamaa alikulaga Milioni kadhaa[emoji134] walimzungusha balaaa.

Ila mimi hela yangu siwaachii...kesho nawatumia kitambulisho, nione wataleta story gani tena.

Nikitoa hela...hawatanuona tena kutumia Kampuni yao.
 
Njoeni 1xbet mambo muswano. wala hakuna makato ya kodi....!!!!
 
Nataka nibet in play mtandao umeganda hawa Parimatch ni mavi kabisa.
 
Sasa picha linaanza, unatumia Safaricom....alafu ukatusua mshiko mnene[emoji23]...Mara wakakaza watake Kitambulisho[emoji23].

Mi nashauri hata tukipiga mpunga mzito, tutue kidogo kidogo...Tusitoe kwa mkupuo.
Kitendo cha kupiga parefu tayari wanaanza complications.
 
Back
Top Bottom