Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Naona team za warabu wanazitoa zootee
Kuna mwanangu katia hela ya dogo ya ada alipewa ampeleke shule na dingi ake...akamdhamini Egypt kwa direct win...nampigia hapatikani..[emoji23][emoji23]
Mbona inagoma
Jana wengi tumepigwa mzee. Nilikuwa natafuta odds 2 ila nichelewa kuweka mkeka nikakuta game ya Malmo FF odd zake zimeshuka, nikatulia nikaamua kumpa direct win Argentina, sijui tamaa ikatoka wapi nikawaongeza wa msiri kwa direct win hapo nikawa na odds 2 na kidogo, nikaweka 10000, nililala mapema. Saa 12 nimeamka kuangalia matokeo ******* wamefungwa.Daah Egypt mse.nge sana kaondoka na hela yote qumama..ke zake mbwa huyu!!
Jana wengi tumepigwa mzee. Nilikuwa natafuta odds 2 ila nichelewa kuweka mkeka nikakuta game ya Malmo FF odd zake zimeshuka, nikatulia nikaamua kumpa direct win Argentina, sijui tamaa ikatoka wapi nikawaongeza wa msiri kwa direct win hapo nikawa na odds 2 na kidogo, nikaweka 10000, nililala mapema. Saa 12 nimeamka kuangalia matokeo ******* wamefungwa.
Is it real mzeeBrazil yes
USA yes
Algeria yes
3 odds
Madagasca na dr congo vipiIs it real mzee
Madagasca na congo vipiBrazil yes
USA yes
Algeria yes
3 odds
Uko vizuri mzee nipe namba zako tusaidiane namna yakuchota pesa za muhindi kidogoBe consistent utampiga tuView attachment 1146070
Maajabu kwenye mpira hayajaisha badoBrazil yes
USA yes
Algeria yes
3 odds
TupoWakuu Mpo?
Hili game la madagasca na dr congo mnalionaje mazeeWakuu Mpo?