Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

K-manina Chelsea... 1500 ya Kenya kabisa yani!
Screenshot_20190719-003122.jpg
 
Mabaharia hizi game za kutest mitambo nyingine zinatumika Kama chance yao ya kukusanya mitaji ya msimu ujao.(na wao wanabet).wanafix kinoma yaani...😂😂😂
 
Mabaharia hizi game za kutest mitambo nyingine zinatumika Kama chance yao ya kukusanya mitaji ya msimu ujao.(na wao wanabet).wanafix kinoma yaani...[emoji23][emoji23][emoji23]
aisee kweli kabisa nimeamini ...maana kuna fala katoa droo ya 3-3na aliongoza 3-1 kipindi cha kwanza na limekosa penalty dakika ya 90,,,,mamamaeeee
 
Yahn mkuu sijawah kuliwa kiasi cha kuitukana team jamvin nusu ya kumtandka jiran yngu kofi kwnye daladala hafu walifungulia radio gan sijui ilikuwa inaponda kuhusu betting nao walinivurga hatr.
Hahahaha yaan nimebaki kucheka tu wamepita na hela yangu
Kilichoniuma nimewap lipatikane goli moja tu nimewavumilia mpka dakika ya 84 naona wanarukaruka tu kocha kocha wao lampard mpuuzi anawangalia as if no any problem yahn.....nikaona hapa niuze tu kwa hasara ile nauza tu dakka mbili mbele goli tyre ***** daaah nimeumia ******* yhn.........shelsea hii bora MAN U
Screenshot_20190719-184943.jpeg
 
Back
Top Bottom