Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ticket+1155083307237.jpeg
Mitambo ipo ON
 
Habari zenu humu ndani, naomba msaada kwa anaejua tuition fees kwa course za Masters hasa ya MBA pale Open University of Tanzania mana nmehangaika kugoogle nmeshindwa. Samahan kwa kuingiza topic tofaut na mada husika.
 
Yahn mkuu sijawah kuliwa kiasi cha kuitukana team jamvin nusu ya kumtandka jiran yngu kofi kwnye daladala hafu walifungulia radio gan sijui ilikuwa inaponda kuhusu betting nao walinivurga hatr.Kilichoniuma nimewap lipatikane goli moja tu nimewavumilia mpka dakika ya 84 naona wanarukaruka tu kocha kocha wao lampard mpuuzi anawangalia as if no any problem yahn.....nikaona hapa niuze tu kwa hasara ile nauza tu dakka mbili mbele goli tyre ***** daaah nimeumia ******* yhn.........shelsea hii bora MAN UView attachment 1157371
Pole sana mkuu duuh aisee
 
Pole sana jamaa, majuzi mm nilikuwa kama 4500 ksh, niliotea kwa basketball league za wanawake, space league ,bwana wee si wakaanza wanaume, wanapga over za kutosha, kibaya zaidi nikawa baa nakunywa kidogo nazo bia zikakolea nikaanza kuwapa stake za under, kilichonikuta nilijikuta namtukana mhudumu bila sababu mana aliniongelesha mm sikumsikia na yy akajifanya kuwaka kumbe mm nina stress za kutosha, just imagine nilidepost 500 ksh ikafika 4500 kwa mda mfupi tu, 1xbet sio mchezo,nikaanza kujiuuliza kwa nn sikuitoa, kweli tamaa, tamaani
 
Yahn mkuu sijawah kuliwa kiasi cha kuitukana team jamvin nusu ya kumtandka jiran yngu kofi kwnye daladala hafu walifungulia radio gan sijui ilikuwa inaponda kuhusu betting nao walinivurga hatr.Kilichoniuma nimewap lipatikane goli moja tu nimewavumilia mpka dakika ya 84 naona wanarukaruka tu kocha kocha wao lampard mpuuzi anawangalia as if no any problem yahn.....nikaona hapa niuze tu kwa hasara ile nauza tu dakka mbili mbele goli tyre ***** daaah nimeumia ******* yhn.........shelsea hii bora MAN UView attachment 1157371
Ungeacha ikaishia yote tu, mm sipendagi kuuza, nakufa na tai yangu shingoni kama mjeruman
 
Haha mkuu mm pia siuzag yan najilaumu kuchungulia chungulia kila mara ......sio mbya nanza tena mdgo mdogo ila 1x bet nao wanazngua huduma ya kutoa mpesa haipo ila kuweka pesa ikiwa kwnye acc inawasha

Mchezo wa basket ni wa ovyo sana, unaweza kukupa hela na kukufilisi mapema sana, nataka ni quit tu
 
Haha mkuu mm pia siuzag yan najilaumu kuchungulia chungulia kila mara ......sio mbya nanza tena mdgo mdogo ila 1x bet nao wanazngua huduma ya kutoa mpesa haipo ila kuweka pesa ikiwa kwnye acc inawasha
Wamesharudisha kutoa hela ipo hewan, nazan ni technical problems tu zinawazingua, ila ukiwa na lain ya safaricom kwa 1xbet basi ushindwe mwenyewe, naona wapo sawa,
 
Back
Top Bottom