Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

fanya uchambuzi basi tudese mkuu
Kuna mechi za Austria kuwania kombe leo kuanzia saa1
Over 2.5 zina toa saaana zichunglieni
Aisee hii kwang leo ime kua ni heartbreak kwa kweli games nilikua nimesha zifanyia selection kwa muda ule na pesa ilikua tayar kweny acc kumbe siku submit huu mkeka nime ingia mzigon naangalia notification kweny sim naona yes mambo mazuri namsubir dundee na Salzuburg daaah stake iko vile vile sija place chochote apa natukana mwenyew tu nime pishana na gari la mshahara
Screenshot_2019-07-19-22-04-07.jpeg
Screenshot_2019-07-19-22-08-13.jpeg
 
Back
Top Bottom