Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
sorry! hizi network bhana, nimeona kama umebadilisha avatarIpi???
sorry! hizi network bhana, nimeona kama umebadilisha avatarIpi???
upo vizur
HuelewekHebu nielekeze kitu mkuu hapa labda me sielewi! Inawezekana ukatumia line ya safaricom kudeposit kwenye account inayosoma tzs??
Huelewek
Mwambie a download app ya tz ndo itakua ya tshAnauliza akitumia safaricom acc yake ya 1xbet itakua ya Tsh?
Mapambana yanaendelea, karibu sana mzee mwenzetuHabari wakongwe wote! Account ilipata changamoto kidogo. Nimerudi tena
Kila maa na refreh page hapaProffesor tunaomba mkeka angalau tuambulie kitu leo
Uchawi ndo huo sasa, group LA nini sasa wakati hapa jukwaa lipo... Nyinyi ndo mnaoharibu hili jukwaaProffesor itabidi atutengenezee group la whatsapp, napishana sana na mikeka yake
Huo siyo uchawi huo unaitwa ujuaji mseto.Uchawi ndo huo sasa, group LA nini sasa wakati hapa jukwaa lipo... Nyinyi ndo mnaoharibu hili jukwaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huo siyo uchawi huo unaitwa ujuaji mseto.