Shauri
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 805
- 453
Mimi tangu asubuhi nachungulia sioni ila sikati tamaa
Applctn natakiwa nitumie ya kenya au ya bongo?Ndio ila inabidi afanye hivyo pindi pale anapo anza ku create account na abadilishe currency baada ya ktsh unaweka tsh
Kak unaweza tumia safarcom ilaa account ikakubal kupay kwa tsh angu kiaje sijaelewaaNdio ila inabidi afanye hivyo pindi pale anapo anza ku create account na abadilishe currency baada ya ktsh unaweka tsh
Skiweka nishtue. Na mimi akiweka nitakujulisha.Mimi tangu asubuhi nachungulia sioni ila sikati tamaa
hahaha mtegemea cha ndugu. Le professeur yupo lecture theater.Professa ndo aonekani mda huu
Dakika ya 89 goli hilo lilipatikana wapo sawa kabisaOneni uhuni wa betpawa yaani game imeisha bilabila wao wameweka matokeo ya uwongo ya 1:0
Sasa sijui hii live score ndio imedanganya au betpawa ndio weziView attachment 1158166View attachment 1158167
Jaribu kuangalia matokeo kwenye site nyingine..Oneni uhuni wa betpawa yaani game imeisha bilabila wao wameweka matokeo ya uwongo ya 1:0
Sasa sijui hii live score ndio imedanganya au betpawa ndio weziView attachment 1158166View attachment 1158167
Mkuu nimeangalia hayo ndio matokeo FT 0:0Jaribu kuangalia matokeo kwenye site nyingine..
LiveScore
Flashscore
Goal.com
Wakuu kunanukia pesa hapanjia nyeupeee hii ya kumuona kanjibai...... View attachment 1158130View attachment 1158131
Duu basi hizi apps zingine ni majangaDakika ya 89 goli hilo lilipatikana wapo sawa kabisa
Hapana..home team imeshinda 1 bilaMkuu nimeangalia hayo ndio matokeo FT 0:0
Kama bado hauja registered fuata hayo maelekezo hapo kwenye attachmentsApplctn natakiwa nitumie ya kenya au ya bongo?
Angalia maelekezoKak unaweza tumia safarcom ilaa account ikakubal kupay kwa tsh angu kiaje sijaelewaa
hahaha mtegemea cha ndugu. Le professeur yupo lecture theater.
Mpaka sasa proffesor hajaibuka du