Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimekupata ila mimi mkuu napendaga sana zile zilizo kua live in play... Hizi za dk 90 hua siziwez... So tuta share usijar
Kama huna line ya safari com ni njia ipi nyingine mkuu ya deposit
 
Mabaharia hizi game za kutest mitambo nyingine zinatumika Kama chance yao ya kukusanya mitaji ya msimu ujao.(na wao wanabet).wanafix kinoma yaani...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mabaharia hizi game za kutest mitambo nyingine zinatumika Kama chance yao ya kukusanya mitaji ya msimu ujao.(na wao wanabet).wanafix kinoma yaani...[emoji23][emoji23][emoji23]
aisee kweli kabisa nimeamini ...maana kuna fala katoa droo ya 3-3na aliongoza 3-1 kipindi cha kwanza na limekosa penalty dakika ya 90,,,,mamamaeeee
 
Yahn mkuu sijawah kuliwa kiasi cha kuitukana team jamvin nusu ya kumtandka jiran yngu kofi kwnye daladala hafu walifungulia radio gan sijui ilikuwa inaponda kuhusu betting nao walinivurga hatr.
Hahahaha yaan nimebaki kucheka tu wamepita na hela yangu
Kilichoniuma nimewap lipatikane goli moja tu nimewavumilia mpka dakika ya 84 naona wanarukaruka tu kocha kocha wao lampard mpuuzi anawangalia as if no any problem yahn.....nikaona hapa niuze tu kwa hasara ile nauza tu dakka mbili mbele goli tyre ***** daaah nimeumia ******* yhn.........shelsea hii bora MAN U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…