Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau mida ntashusha mkeka..... mida bado games za night n za uhakika.. sema network ya meridian n msiba kwakwel...
Ivi hamna kampuni nyingine nje ya meridian wenye option zako? betpawa wanaanzaga na over 2.5 mechi zao nyingi
 
Wadau mida ntashusha mkeka..... mida bado games za night n za uhakika.. sema network ya meridian n msiba kwakwel...
Pengine ni mahali ulipo ama mtandao unaotumia kwnye internet. Kwangu meridianbet imekuwa stable kuliko siku zote nlizoifaham.

Au jaribu ku-update km haujaupdate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…