Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu naona tigo majanga kudeposit meridian leoo voda vip toka saa sita bila bila mpaka salio halisomi msaada wakuu
 
Sio hao tu hata betpawa nao hivo hivo,ndomana mimi napenda tumia 1xbet kwanj hapo na hapo hakuna kuchelewesha mambo....hahahahah
Hawa 1x inabidi tuongee na wizara (department) husika asee kudeposit iswe tabu..
Ila conpany za tz very lazy, imagine conpany X ianzishe business partnership na 1x,in a week tu watapiga $$ nyngi sana through deposit n withdraw fees
 
msaada wakuu kama umesajili na line ya tigo meridian na unataka kudeposit kwa line nyingne tofaut na uliyosajiliaaa let say voda vip inawezekanaaa
 
Yeah inawezekana chamsingie angalia hapo utaona namna ya kulipia kwa tgo pesa namba ya kampuni ndiyo inabadilika namba yako ya reference ni ileile
 
msaada wakuu kama umesajili na line ya tigo meridian na unataka kudeposit kwa line nyingne tofaut na uliyosajiliaaa let say voda vip inawezekanaaa
Sina hakika ila nadhani haina shida sababu wakati wa kudeposit hakuna no ya simu

Kama salio lako halijafika wapigie Tigo wakuhakikishie pesa imeenda
Then wapigie meridian watarekebisha fasta
 
mkuu naona tigo majanga kudeposit meridian leoo voda vip toka saa sita bila bila mpaka salio halisomi msaada wakuu
Wamenikosesha hela hao wapuuzi leo nawapigia wananiambia nisubiri in 24 hours ndo itarudi au iende kwa account
 
msaada wakuu kama umesajili na line ya tigo meridian na unataka kudeposit kwa line nyingne tofaut na uliyosajiliaaa let say voda vip inawezekanaaa
Inawezekana ila kutoa utolee huko huko voda usiweke na voda ukawithdraw na tigo haitoki
 
Ilikuwepo sema kodi ndo mchawi
Hawa 1x inabidi tuongee na wizara (department) husika asee kudeposit iswe tabu..
Ila conpany za tz very lazy, imagine conpany X ianzishe business partnership na 1x,in a week tu watapiga $$ nyngi sana through deposit n withdraw fees
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…