The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Ungeweka wazi kila kitu hapa mana ishu ya 1xbet tangu mda ni gumzo...kwhy kama utakua na muda wako free wa kuingia humu jukwaani tena, jaribu kuelezea in brief na watu watapata mantiki ya hiyo njia!Wakuu, kwa wale wanaopata shida kuweka hela kwenye akaunti zao za 1xbet njia rahisi zaidi na ya haraka ni kutumia visa prepaid card ukishinda mzigo unapata si zaidi ya nusu saa anaehitaji maelezo zaidi anicheki View attachment 1163018
Daah acha tu nmekosa hela ndefu sana Kwa Wolves na Rangers (3+)!Twende kazi leo mzee baba tunakusubiri.....utuokoe[emoji120]Baadaya ya mapumziko ya Thursday... leo tunaendelea... nimechek matokeo ya Jana... yapo hovyo hovyo sanaa
Aisee betting bana eti hata goli 1 timu inakosa
naomba maelekezo mkuuWakuu, kwa wale wanaopata shida kuweka hela kwenye akaunti zao za 1xbet njia rahisi zaidi na ya haraka ni kutumia visa prepaid card ukishinda mzigo unapata si zaidi ya nusu saa anaehitaji maelezo zaidi anicheki View attachment 1163018
Visa prepaid card zinapatikana kwa 15k tu unaipata hapo hapo sio lazima uwe na akaunti ya benkinaomba maelekezo mkuu
Mkuu funguka kidogo basiVisa prepaid card zinapatikana kwa 15k tu unaipata hapo hapo sio lazima uwe na akaunti ya benki
Mkuu funguka kidogo basi
Process za kupata kadi zikoje
Namna ya kuweka na kutoa mkwanja
Baba pecha kudeposit inafaa je kuwithdrawal inakuaje na hyo visa prepaid card maana me najua inatransfer tu sidhan kama inapokea ela
lazima bank izo maana uku nilipo kuna crdb nmb boa bank bank ya posta na nbc je niende ipiVisa prepaid card zinapatikana kwa 15k tu unaipata hapo hapo sio lazima uwe na akaunti ya benki
na makato wakati unawithdraw vip na wakati una deposit vip mkuu hapoo
Ungeweka wazi kila kitu hapa mana ishu ya 1xbet tangu mda ni gumzo...kwhy kama utakua na muda wako free wa kuingia humu jukwaani tena, jaribu kuelezea in brief na watu watapata mantiki ya hiyo njia!
Kaka tunasubiri chombo kwa hewaBaadaya ya mapumziko ya Thursday... leo tunaendelea... nimechek matokeo ya Jana... yapo hovyo hovyo sanaa
Mambo bado kiongoziNimerudi
Asante mkuu m nilichukua hizo 2 za kwanza ya Baseball nikapiga chini na kuongeza zangu mbili nyingine.
Mkuu haya maelezo ya whatsaap copy tupia hapa, halafu pia km ni voice note pia rekod tupia tu mkuu, tumekwama wenzio, ila masuala ya kufatana WhatsApp nako!! Hhhhmmmm..Mm ni mvivu sana kutype maelezo marefu kama mtu atapenda anicheki whatsapp 0658015213
Mkuu haya maelezo ya whatsaap copy tupia hapa, halafu pia km ni voice note pia rekod tupia tu mkuu, tumekwama wenzio, ila masuala ya kufatana WhatsApp nako!! Hhhhmmmm..