masterjuly77
JF-Expert Member
- Jun 29, 2009
- 221
- 173
Premier Bet Kwa Uzoefu Wangu Japo Sojazoea MeridianWakuu kuna anaetumia app ya premier bet au meridian humu?
Ipi iko poa kati ya hizo katika Ku withdraw na kudeposit yaan hawasumbui??
Msaada tafadhali!
Dah! We acha tu ndugu yanguHamna namna ya kuweka notification wakuu maana saa nyingine tunapitwa na mikeka kwa kweli hasa hii henye hela du
Wakuu kuna anaetumia app ya premier bet au meridian humu?
Ipi iko poa kati ya hizo katika Ku withdraw na kudeposit yaan hawasumbui??
Msaada tafadhali!
Mpaka sasa bila bilaProff hajatupia leo? Jana ilikuwa siku mbaya sana
Wakuu habarini za masiku,
Nakuja kuwapa mrejesho wa safari yangu ya kusaka payment method ya kulipia 1XBET.
Leo hii nimefanikiwa kulipia kwa Paypal kutoka akaunti yangu ya NMB via NMB mastercard na kiukweli imekuwa Instant yaani nimemaliza kucommand tu naona msg ya 1Xbet tayari hapohapo.
Nimedeposit 10 EURO but nimekatwa kama 29K hivyo bado sijamaster vizuri hizi charges zinavyoapply japo lengo kwanza lilikuwa niweze kudeposit bila tatizo.
Kama kuna mwenye maswali karibu nitakujibu kile nilichofanya mm mpaka kufanikiwa.
Hilo bado sijalijua mkuu namna ya kuwithdraw ila nataka nijaribu kuwithdraw kupitia skrill au km bado kutakuwa na shida basi nitafanya money LAUNDERING hakuna namna itabidi niwe nalipia bidhaa mtandaoni zikifika nifanye business zote bado zaweza kuwa option murua mkuu.Hongera mkuu, ila unajua kuingiza hela kwenye paypal ni rahisi ila kutoa ndo ishu manake ukiwin kule 1x utatakiwa ku withdraw kwenda paypal hapo sasa ndo itakuwa shida ku withdraw toka paypal kuja nmb kwakuwa benki kuu bado haijaruhusu transaction ya hela kuingia kwenye akaunti yako kutoka paypal
Hilo bado sijalijua mkuu namna ya kuwithdraw ila nataka nijaribu kuwithdraw kupitia skrill au km bado kutakuwa na shida basi nitafanya money loundering hakuna namna itabidi niwe nalipia bidhaa mtandaoni zikifika nifanye business zote bado zaweza kuwa option murua mkuu.
Hivi DTB wana hii huduma?Pole sana mkuu mbona unataka kuzunguka sana wakati njia rahisi ipo unatakiwa na visa prepaid card basi umemaliza kazi ndani ya nusu saa tu baada ya ku withdraw unapata mpunga wako kama utapenda nicheki whatsapp 0658015213
Customercare wa GSB anakubali goli lilifungwa dk ya 24, lakin hajielewiHapa sasa sijui nan mkweli maana nishapigwa lost lakini nikiangalia flashscore naona goal dk ya 24View attachment 1163242View attachment 1163243
Hilo bado sijalijua mkuu namna ya kuwithdraw ila nataka nijaribu kuwithdraw kupitia skrill au km bado kutakuwa na shida basi nitafanya money LAUNDERING hakuna namna itabidi niwe nalipia bidhaa mtandaoni zikifika nifanye business zote bado zaweza kuwa option murua mkuu.
Ndio hivyo! Jana bhana!Ngoja tuendelee kumsikilizia proff hakuna namna
Ndio hivyo! Jana bhana!
Weka mkeka wako hapa usidiwe, ili tujue ukweli ukowapi.Customercare wa GSB anakubali goli lilifungwa dk ya 24, lakin hajielewiView attachment 1163295
Nilishaweka hapo juu niliweka hiyo game ambayo wamenipa lostWeka mkeka wako hapa usidiwe, ili tujue ukweli ukowapi.