Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kuna alieweza kudeposit kwa tigo pesa au mpesa leo kwenda meridian naona kote naambiwa transaction is cancelled
 


Hahaha ... yani timu zinaweza zikawa 900+ lakini odds 1.6 tu usizipate.
 
Ngoja nichungulie mechi za leo
Mkuu nakuona uko vizuri sana kwenye uchambuzi tafadhali uwe unashare na mimi japo kidogo,nina passion sana na huu mchezo ila bahati haiko upande wangu,yaan NINAPIGWA kiasi ambacho hata kumueleza mtu ni ngumu kuamin,kila ninakokimbilia ni kipigo tu,nimejiunga karibu kampuni zote lakin nafuu sipati,kila nikijaribu napigwa,angalia mfano wa hizi mbili,PRINCESS BET na BET PAWA,kumbuka bado niko GAL SPORTS,MKEKA NA 1XBET.

WAKUU NISAIDIENI AISEE NA MIMI NIFAIDI JAPO KIDOGO NDUGU ZANGU,NITUMIE MBINU GANI?.
 


Duuh pole sana mkuu ...

Mim inakushauri uwe na subira, subiri tips anazoleta BASIASI (a.k.a @PDiddy) humu zile anazoandika MaxB (yani Maximum Bet) ... zinakuwaga na 90-100% ushindi. Ama zile za Mr. Opulence

Pili tambaa na tips za Void ab initio alizoanza kurusha hivi karibuni za Over 1.5

Kwa stake hizo unazoweka, hizi tips za hao miamba hapo juu utakwenda vizuri. Mimi nimeanza kwenda nao kimya kimya toka juzi naona kuna ahueni. Muda mwingine lazima tukubali wengine wanaona vzr kuliko tunavyoona sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…