Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha kuchambua mechi peke ako, inaonekana huujui huu mchezo, utapoteza pesa nyingi na kufaidisha makampuni bure. Acha acha,

Kuna watu wanaweka mikeka nyenye possibility kuwa ya kushinda, wafate hao, mchezo mchafu huu ukiingia kichwa kichwa unaweza kufirisika
 
Pole sana mkuu hii ndio kamari
Kama bado huja masta vizuri huu mchezo, kwa maana ya kwamba winning ratio yako sio nzuri basi jaribu kupunguza stake kubwa kubwa
Shusha stake zako, stick na bookies wachache na ufanye kama darasa hadi pale utakapoona angalau bashiri zako sasa zinaweza kuleta faida
Kama una haraka sana basi jaribu kutambaa na mikeka ya wataalamu wanaiweka sana humu jamvini kisha tupia hizo stake zako

Kwa malengo ya muda mrefu ni vizuri ukajikita kwenye kuujua mcheze kuboresha bashiri zako zaidi ya kukopi bashiri za wengine
Mwisho mkuu, huu ni uraibu ukikukolea na bashiri zako zikawa sio za faida ni hatari kwa uchumi wako
All the best
 
Duuh mkuu!! Shida ni nini?
 
Ni kweli kabisa mzee mwenzangu
 
Nenda kwa mganga, atakusaidia .Atakupa dawa ya kukufanya uwe unashinda tuu
 
Shukran sana Mkuu tips huwa naziona Boss ila kufanya critically analysis atleast niwe napata hata odd 1.5 kwa siku nashindwa mkuu.
 
Nakubali Mkuu,umesema kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…