Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Shukrani Mkuu,ngoja nianze kufuatilia mikeka ya watu,me nimeshindwa kabisa ku create mikeka yangu.Pole sana mkuu hii ndio kamari
Kama bado huja masta vizuri huu mchezo, kwa maana ya kwamba winning ratio yako sio nzuri basi jaribu kupunguza stake kubwa kubwa
Shusha stake zako, stick na bookies wachache na ufanye kama darasa hadi pale utakapoona angalau bashiri zako sasa zinaweza kuleta faida
Kama una haraka sana basi jaribu kutambaa na mikeka ya wataalamu wanaiweka sana humu jamvini kisha tupia hizo stake zako
Kwa malengo ya muda mrefu ni vizuri ukajikita kwenye kuujua mcheze kuboresha bashiri zako zaidi ya kukopi bashiri za wengine
Mwisho mkuu, huu ni uraibu ukikukolea na bashiri zako zikawa sio za faida ni hatari kwa uchumi wako
All the best
Sijui Mkuu yaan,hiyo ni intro tu mkuu picha iko 1XBET na GAL SPORTS,hii ni MKEKA bet angaliaDuuh mkuu!! Shida ni nini?
Mganga gani Mkuu?.mbona sijasema nahitaji DAWA zaidi ya KUHITAJI USHAURI?.Nenda kwa mganga, atakusaidia .Atakupa dawa ya kukufanya uwe unashinda tuu
Sawa mkuu ahsante sanaTafuta mtaji hata wa 5000 tu... huu ni wa kujitahidi kujifunzia usitumie pesa nyingi kaka... hata ukicopy match za wenzako nazo jitahidi ufanye tena uchambuzi wako ukiridhia tia pesa ila usiweke pesa nyingi kaka utajifilisi
*Bet9ja**Bet9ja*
β½ UEFA Champ Leag, Q
Nomme Kalju - Celtic
2 & Over(1.5) 1.34
β½ UEFA Champ Leag, Q
Basel - PSV
GG & Over(2.5) 1.67
β½ UEFA Champ Leag, Q
Dinamo Zag - Saburtalo
1 & Over(1.5) 1.27
β½ UEFA Champ Leag, Q
Valletta - Ferencvarosi
2 or Ov(1.5) 1.07
*Odd3.04*
jifunze kubet magoli hii mbinu yako kula kazi sanaMkuu nakuona uko vizuri sana kwenye uchambuzi tafadhali uwe unashare na mimi japo kidogo,nina passion sana na huu mchezo ila bahati haiko upande wangu,yaan NINAPIGWA kiasi ambacho hata kumueleza mtu ni ngumu kuamin,kila ninakokimbilia ni kipigo tu,nimejiunga karibu kampuni zote lakin nafuu sipati,kila nikijaribu napigwa,angalia mfano wa hizi mbili,PRINCESS BET na BET PAWA,kumbuka bado niko GAL SPORTS,MKEKA NA 1XBET.
WAKUU NISAIDIENI AISEE NA MIMI NIFAIDI JAPO KIDOGO NDUGU ZANGU,NITUMIE MBINU GANI?.View attachment 1167783View attachment 1167784View attachment 1167785View attachment 1167786View attachment 1167787View attachment 1167788View attachment 1167789View attachment 1167790View attachment 1167791
Karibu mzee babaODDS 2.6
Quarabag v Dundalk
GG
Nina siku nyingi kweli
1300HRS1300HRS
JEONBUK HYUNDAI v JEJU UTD
HOME WIN & 3+
(2.00)
Ni whatsupp 0765929586 tushare mawazoMkuu nakuona uko vizuri sana kwenye uchambuzi tafadhali uwe unashare na mimi japo kidogo,nina passion sana na huu mchezo ila bahati haiko upande wangu,yaan NINAPIGWA kiasi ambacho hata kumueleza mtu ni ngumu kuamin,kila ninakokimbilia ni kipigo tu,nimejiunga karibu kampuni zote lakin nafuu sipati,kila nikijaribu napigwa,angalia mfano wa hizi mbili,PRINCESS BET na BET PAWA,kumbuka bado niko GAL SPORTS,MKEKA NA 1XBET.
WAKUU NISAIDIENI AISEE NA MIMI NIFAIDI JAPO KIDOGO NDUGU ZANGU,NITUMIE MBINU GANI?.View attachment 1167783View attachment 1167784View attachment 1167785View attachment 1167786View attachment 1167787View attachment 1167788View attachment 1167789View attachment 1167790View attachment 1167791
Usisahau kutupiaNgoja nichungulie mechi za leo
Tayari nishaweka za mchana huuuUsisahau kutupia