Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Kweli MkuuMjomba kwa hzo hela UlizoLost Lazma utakua kuna Muda Unabet Kwa Hasira sana wakati ambao akili haijatulia na sio lazma kila siku Ubet Siku nyingne Jarbu kukausha Ukiona Upepo Hauosomeki hii michezo ni nadra sana kulaa kama Ukiwa na paparaa jaribu kubet Angalau sio zaidi ya Mara 3 kwa Siku mbili Pia kuna baadhi ya ligi znajulikana kwa aina fulan ya option Pia cha Mwsho tafuta timu unazozifaham tuu..... UKIWA NA HASIRA JITAHIDI SANA KUJIZUIA KUBET... NA HATA UKILA MARA MOJA KWA SIKU NI BORA UKAUSHE KULIKO KUTAKA KUBET TENA kwa Mara nyingine
Hata Mimi nilisoma naye[emoji23]Madrid nahisi anakaa leo
HahaaaHata Mimi nilisoma naye[emoji23]
Ikitokea fursa tu nitaibuka nayo humuHahaaa
Leta inplay
Mkuu unajiunga kwa kufanya registration kwenye website yao kisha baada ya kujisajili utaniambia nikutumie namba ya mtu wa kukuwekea pesa (Mwaminifu) ndani ya dakika 2 - 3,unakuwa umepokea pesa,then kuhamisha kutoka skrill kwenda 1XBET ni kitendo cha sekunde 10 tu pesa inajaa kwenye account.Skrill najiungaje mkuu?
Shukran Mkuu ngoja niifate boss.Dukeson chukua hyoo
hongera leo umembamiza si mchezo
Mininum withdarw?Mkuu unajiunga kwa kufanya registration kwenye website yao kisha baada ya kujisajili utaniambia nikutumie namba ya mtu wa kukuwekea pesa (Mwaminifu) ndani ya dakika 2 - 3,unakuwa umepokea pesa,then kuhamisha kutoka skrill kwenda 1XBET ni kitendo cha sekunde 10 tu pesa inajaa kwenye account.