koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Nimeshakaribia mzee babaKaribu mzee baba
Nimeshakaribia mzee babaKaribu mzee baba
Hongera Mkuu. Safiii.Ahsante Boss kwa namna hiyo nitapunguza machungu ya vipigo!!.pole pole lakin kwa hakikaView attachment 1168092
mnamdunda sana leo match zote za live now kazipiga lockAustralia over 1.5 hulali njaaView attachment 1168105
Duuh hii tabia ya mkekabet kumjumlishia mtu hela yake aone jinsi gani kashaliwa inakatsha tamaa..bora hata kampuni zingn mtu hauoni ni kias gan ushaweka humo hlf cha ajabu, total cash unakuta mtu hana kabsa..Sijui Mkuu yaan,hiyo ni intro tu mkuu picha iko 1XBET na GAL SPORTS,hii ni MKEKA bet angaliaView attachment 1167915
YAANI MKUU INAUMA SANA NA HIYO NI ACCOUNT YA PILI,YA KWANZA NILICHEZEA HADI NIKAWAOMBA WAIFUNGE.Duuh hii tabia ya mkekabet kumjumlishia mtu hela yake aone jinsi gani kashaliwa inakatsha tamaa..bora hata kampuni zingn mtu hauoni ni kias gan ushaweka humo hlf cha ajabu, total cash unakuta mtu hana kabsa..
Mzee utafilisika mzee betting is not shopping pumzika kwanza mwaka mmoja uwe unasoma msg za wadau hapa ujifinze wanavyobet mzee
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa maana umenishauri mambo makuu mawili ambayo nimejaribu kuyafuta tu kwa muda mfupi yameanza kunilipa.Kupumzika sio solution.
Angalia hawa watu watatu kwa sasa ...
- Void ab initio
- Proffesor
- BASIASI (huyu anapost tips nyingi, inabidi na ww uchague, usichukue kila kitu)
Hawa kwa sasa ndio wakombozi wa hela zetu. Utakosa mara moja, lkn utampiga mara 5. Si haba.
Ujamaa ulimshinda late Nyerere."Oya wadau league zikianza mnaonaje tuwe kila mdau humu analeta team yake moja anayoiamini alafu tunafanya uchambuzi kwa pamoja ,, tunakubaliana kisha kila mtu anaweka stake yake..
Skrill najiungaje mkuu?Skrill Mkuu
Upo mkuu?Wakuu
Habari zenu, Poleni na Mapambano
Mfwate na goli ama dcMaribor nahc anaweza mchapa AIK leo au draw
King Opulence huyu jamaa ni hatari...