Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mida ya lanchi hii
Na hamu ya ugali na samaki mkuuubwa wa oka na maharagwe ya nazi pamoja na kisanvu

Niombeeni maani nikilost naua winga leo mchana huu
 
Hapo ili ushinde mechi inatakiwa iisheje? Mimi Handicap kichwa kimegoma kuzielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kuiongezea timu magoli au kuipunguzia lakini ishinde
Hapo nimewaongezea goli 2 home time na washinde game
Waliku nyuma kwa goli mbili nikajua watapata bao na ukijumlisha na mbili nilizo waongeza jumla itakua 3
Wameshindwa kupata goli
Nashinda njaa mchana
 
Game mbona zinakuwa cancelled sana
U never know lakini
 
Si ungempa doube chance Club Brugge - 1X
Kwa hapo ulivyoweka ina maana Club Brugge akishinda mikeka yote chaliii
Club Brugge nmempa win ambapo hapo akishinda tu nakula 100000, Tim zingne zimesha to a imebaki win ya Club brugge akipgwa na dynamo kyv au akidraw nakula Laki 480000 em rud tena uutazame huo mkeka utauelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…