Asante mkuu nilifata,but uwe unaweka Link iwe rahisi zaidiNdo mana napenda haka ka style. Kila mkeka naweka alfu kumi inaleta 50k kwenda mbele. Hapa juzi na jana Kanji akanila, leo nimemla mara moko tu na FAIDA IMEKUJA! .... niliupost hapa mapema. Kama ulifuata, kheri.
Wazee wa Feri, Meli hiyoooo!! View attachment 1169868View attachment 1169870View attachment 1169871
RASMI 1XBET IMEFUNGIWA KENYA DOOOOOO
My new salary in 1st August 2019.View attachment 1170057
Namba ya simu ya nn sasa mkuu au ndo ushamba mzigo... Ungekuwa Wa maana Sana ungeweka kabla ya kula lakin hapa unaonekana kilaza tuu, kuna watu wanakula pesa Mara kumi zaidi ya hiyo na hawaweki namba ya simuMy new salary in 1st August 2019.View attachment 1170057
Siyo kweli biznez as usualUkiona mkeka umechorwa chorwa ujue ni biashara
Kimsingi haina nafasi hapa jamvini
Bwege weweUnazidi kuonyesha ukilaza wako, mtu aliyekamilika vizuri kiakili hawezi tukana matusi Kama haya ila kwakuwa ww Ni kilaza umetukana na hii umekuja kuthibitisha tuu kuwa ww Ni kilaza... Nmemaliza sitokujibu tena ww kilaza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] huwa siuzi tips am doing my best to make other get profited through my work sema ninavyokuwa nawaambia wanifuate IG coz kule ndo nipo active sana huku napitiaga tu Mara chache sana. SEMA SIO KUWA TIPS ZOTE NI 100% SURE NO MY FRIENDS HAKUNAGA SURE TIPS ASIJE AKAKUDANGANYA MTU...HUWA INATOKEA TU MTU NA BAHATI YAKE MFANO WALE WANAOUZA CORRECT SCORE UNAKUTA GAME MBILI ODDS KUANZIA 100 NA KUENDELEA WALE NI WEZI TU NDO MAANA UKIWAAMBIA PAY AFTER WIN WANAGOMA COZ ITS JUST A PREDICTION ILA TU KWA AKILI ZETU FINYU UKIONYESHWA MIKEKA ILIYOWIN BASI UNAKUTA TAMAA INAKUINGIA LAKINI WENGI WAO MIKEKA ILE HUWA WANAIFANYIA EDITING...HUU ULIMWENGU WA SASA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA....Wenye biashara nyie endeleeni tu kuuza ila sidhani kama humu kuna wateja Jk12
Siamini ameamua hela apewe mhindi sio sisi tunaolia kila siku hapa.
It's obvious wamefanya maksudi kbs. Timu ina pungufu ya wachezaji wawili unashindwaje kufunga goli moja wkt walipata goli wakiwa 11 vs 11 ?!!!!
Mkuu upo?
Bet won
Nipo mkuu. Nilikuwa likizo, narejea kazini rasmi leo kama kawaida kiongozi wangu.Mkuu upo?