Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uoga mbaya sana
 
Mkuu vp,hebu fanya odds 3 nidese aiseh.
Sipo kwenye form kabisa,afu nina mtaji mzuri leo.

Mkuu usingependa udese kwangu hakyanani ... nina gundu la hatari kipindi hiki. Hebu tazama hao wachina wanaelekea kuipeleka 100K kwa Kanjibah Kumar !! wanashindwa over 1.5
 
Mkuu usingependa udese kwangu hakyanani ... nina gundu la hatari kipindi hiki. Hebu tazama hao wachina wanaelekea kuipeleka 100K kwa Kanjibah Kumar !! wanashindwa over 1.5
Wachina hawajatoa kwani?
 
Baadae nitasogea sehemu ambapo nitakuwa karibu na ofisi yao basi nitakwenda kujua, hii mambo inakwenda vip.. huu sasa ni ubabahishaji.
Kama uliongea na customer care wao yaan hajui chochote cjui wamemtoa wap, j2 ilopita nilienda ofcn kwao kuhusu mkeka walonikosesha nikaonana na mkuu wa online betting nkamwambia nilichat na watu wa customer care wakasema nimekosa system iko sawa, kaomba kuona msg nilizochat nao alisikitika akasema inabid waboreshe customer care akaandika mail kwend kwa watop
 
Mkuu usingependa udese kwangu hakyanani ... nina gundu la hatari kipindi hiki. Hebu tazama hao wachina wanaelekea kuipeleka 100K kwa Kanjibah Kumar !! wanashindwa over 1.5

Na vi-odds vyao 1.06 ... duuh !!! Bloody betting



 
Mkuu unatuaminisha tutie mzigo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…