Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Kodi ni noma, yaani inakwatwa kwenye ulichokula + ulichoweka.
Bora ingepigwa kwenye faida pekee, yaani Ukicheza 10,000 ukala 5,000, kodi ni 18% ya (10,000+5,000).
Bora ingepigwa wenye 5,000 kwa sababu ndiyo kiasi nilichokula.
Wanatunyonya.