Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna siku hapa me nilikuwa nauliza jinsi ya kuapload mkeka kuna mtu alinijib?

Kaka humu watu ni wengi sana, ukitaka kuulizia kitu vizuri m-quote mtu au mention majina kadhaa.

Kuhusu mikeka mi naona watu wanaweka sana labda kama hujafuatilia.

Pole, hizi ni changamoto za hili jukwaa, watu wana stress za kuliwa pia.
 
Poa poa kaka haina noma pamoja....
Lengo le2 ni moja tu, kumpiga kanjibai
 
Dont give up guys..... Hii nibiashara kama Biashara nyingine

[10/10]
1259 23-09 21:45:00 Crystal Palace-Charlto
Final Score 1 1.47
1262 23-09 21:45:00 Newcastle Utd-Sheff We
First Goal time 28+ 2.20
1264 23-09 21:45:00 Tottenham-Arsenal
Total Goals 2-3 2.04
1205 24-09 00:20:00 Atl. Parana-Los Andes
Final Score 1 2.05
0828 23-09 21:00:00 Mechelen-RWS Brussels
Final Score 1 1.29
0315 23-09 20:00:00 Lyon-Bastia
Final Score 1 1.38
1336 23-09 21:00:00 Bayer 04 Leverkusen-FS
Final Score 1 1.48
1339 23-09 21:00:00 Schalke 04-Eintracht F
Final Score 1 1.78
1269 23-09 22:00:00 Man Utd-Ipswich
Final Score 1 1.23
0219 23-09 18:15:00 Asteras Tripolis-Panio
Final Score 1 1.59
------------------------------------------
Total: 3000.00
------------------------------------------
Payout: 372132.88
Combination count: 1
------------------------------------------

daah kudadekiii!!!
Big up mzaz!!!
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

sorr wakubwa m n mgen humu ndan but naomba kuuliza jna nmetoa pesa kwenye meridian kwenda kwenye m pesa ila had sasa haijaingia kwenye m pesa tatZo lnaweza kua nn mawazo yenu wadau
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkuu nakutakia kila la kheli, you mean business.
 
sorr wakubwa m n mgen humu ndan but naomba kuuliza jna nmetoa pesa kwenye meridian kwenda kwenye m pesa ila had sasa haijaingia kwenye m pesa tatZo lnaweza kua nn mawazo yenu wadau
 
sorr wakubwa m n mgen humu ndan but naomba kuuliza jna nmetoa pesa kwenye meridian kwenda kwenye m pesa ila had sasa haijaingia kwenye m pesa tatZo lnaweza kua nn mawazo yenu wadau

umetoa kwa procedure gani? navyojua haichukui more than 24hrs
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Game ya kwanza inakaribia kushinda...!
 
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Bado goli moja mzee ujipigie laki 8 tuombe mungu asee
 
Back
Top Bottom