Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Bado goli moja mzee ujipigie laki 8 tuombe mungu asee
Mambo yameiva sasa nikuomba wasiongeze matokeobn 1-1 dk ya 61.
Kiufupi kanji ashakaa hapo
Bado goli moja mzee ujipigie laki 8 tuombe mungu asee
Mambo yameiva sasa nikuomba wasiongeze matokeobn 1-1 dk ya 61.
Kiufupi kanji ashakaa hapo
Kwa stake jamaa ambayo kaeka lazima atakua kalala, asubuhi anakutana na suprise ya pesa
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Bet won,, huu ni mshahara wa mtu wa bachelor baada ya kodi na makato mengine kwenye taasisi ya fedha...make the best use of it. Congratulation
Bet won,, huu ni mshahara wa mtu wa bachelor baada ya kodi na makato mengine kwenye taasisi ya fedha...make the best use of it. Congratulation
Umeona stake aliyoweka lakini?
Yeah nazungumzia 800,000 as a profit
Amini nawambia, kesho kuna pesa......tulizeni vichwa, tafuta timu zako sita tu. kila la kheri wafanya biashara wenzangu
Raimundo hivi ule mpango wetu wa zamani umeishia wapi, ule wa kuweka dau kubwa kama hizi