Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

odd60today.png

Leo
 
Nasubiri NBA ianze mkuu, ila huu mtindo wa 2-4 game 2 unahamasisha kweli kweli.

Nilijaribu kunusa pua game za EuroBasket nikapigwa, nasubiri NBA mimi, angalau nikicheza mara 3 mpaka 4 kwa wiki itakuwa poa.

Chungulia Hockey mkuu, haswaa Russia KHL na MHL ndio huwa zinanirudishia kamtaji,,,
 
[TABLE="class: table, width: 721"]
[TR]
[TD]Fortuna Dusseldorf - Sv Sandhausen[/TD]
[TD]1.69[/TD]
[TD]Fortuna Dusseldorf Win[/TD]
[TD]Sep 25, 2015 - 7:30 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Valencia - Granada Cf[/TD]
[TD]1.45[/TD]
[TD]Valencia Win[/TD]
[TD]Sep 25, 2015 - 9:30 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Emmen - Jong Psv[/TD]
[TD]1.70[/TD]
[TD]Emmen Win[/TD]
[TD]Sep 25, 2015 - 9:00 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Niort - Clermont Foot[/TD]
[TD]2.85[/TD]
[TD]Draw[/TD]
[TD]Sep 25, 2015 - 9:00 pm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Creteil - Le Havre[/TD]
[TD]2.95[/TD]
[TD]Draw[/TD]
[TD]Sep 25, 2015 - 9:00 p[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
utabiri wa Teja Kesho:-
-LEICESTER CITY VS ARSENAL (GG)
-MAN UNITED WIN
-REAL MADRID WIN
-HIBERNIAN F.C WIN
-CARDIFF WIN
-PSG WIN

NIMEMALIZA MAONI USHAURI KARIBU Jr
 
TUJE KWENYE GG

-Ipswich v Bristol City (GG)
-Burnley - Reading (GG)
-Exeter - Wycombe (GG)
-Wolfsburg - Hannover (GG)
jr
 
[TABLE="class: cms_table, width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

BET WON

Ndio naangalia risiti sasa hv.. Asanteni sana wakuu kwa ushirikiano wenu.. Raimundo na wengineo..!

Dah, we jamaa ni noma, mimi nisingelala bila kupata majibu!

Big up sana mwana.
 
[TABLE="class: cms_table, width: 500"]
[TR]
[TD]betis - deportivo la coruna[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.64)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]rb leipzig - sc freiburg[/TD]
[TD]2-4 (odd: 1.60)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]stake: 500,000/-[/TD]
[TD]winning: 1,312,000/-[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

BET WON

Ndio naangalia risiti sasa hv.. Asanteni sana wakuu kwa ushirikiano wenu.. Raimundo na wengineo..!

Hongera sana mkuuu, hata kesho utapata tena kama hiii

Dah, we jamaa ni noma, mimi nisingelala bila kupata majibu!

Big up sana mwana.

Mkuuu wewe mwoga eeeh... mi huwa naogopa angalia matokeo.. huwa napitia matokeo kabla sijaenda fungua account yangu
 
HOCKEY
15/15]
1449 25-09 20:30:00 Bad Nauheim-Heilbronne
Under/Over 6+ 1.50
1504 25-09 20:30:00 Dresdner Eislowen-Kass
Under/Over 6+ 1.52
1505 25-09 20:30:00 Frankfurt Lowen-Lausit
Under/Over 6+ 1.46
1510 25-09 20:30:00 ESV Kaufbeuren-Bietigh
Under/Over 6+ 1.41
1513 25-09 21:00:00 Bremerhaven-Ravensburg
Under/Over 6+ 1.49
1514 25-09 21:00:00 Riessersee-Crimmitscha
Under/Over 6+ 1.50
2368 25-09 20:30:00 Krefeld-Eisbaren
Under/Over 6+ 1.67
2366 25-09 20:30:00 Iserlohn-Ingolstadt
Under/Over 6+ 1.78
2365 25-09 20:30:00 Wolfsburg-EHC Munich
Under/Over 6+ 1.74
2364 25-09 20:30:00 Augsburger-Nurnberg
Under/Over 6+ 1.71
1522 25-09 20:00:00 Lulea-Skeleftea
Under/Over 6+ 2.35
1531 25-09 20:00:00 Modo-Linkopings
Under/Over 6+ 2.30
1012 25-09 18:30:00 Hermes-JYP Akatemia
Under/Over 6+ 1.42
1019 25-09 18:30:00 Kiekko Vantaa-KeuPa HT
Under/Over 6+ 1.83
1024 25-09 18:30:00 TUTO-Roki
Under/Over 6+ 1.59
------------------------------------------
Total: 2500.00
------------------------------------------
Max payout: 5000000.00
Min payout: 5000000.00
 
Mkuuu wewe mwoga eeeh... mi huwa naogopa angalia matokeo.. huwa napitia matokeo kabla sijaenda fungua account yangu

Mimi nafatilia live, kinuke nimeona!

Habari za kulala kwanza niangalie matokeo baadae ni kipindi kile sijawa sugu.
 
Hizo presha huwa sizitaki mie nikiweka tu, nazima data naendelea na maisha ya kila siku

Ndiyo maana football inanishindaga, mimi napenda basket unaona sekunde kwa sekunde, kama kimebuma unajua mapema unaendelea na shughuli zingine!

Ila mpira dah, ni presha sana kwangu.
 
Raimundo
Niliwahi weka 10000 kasoro 1000000
Afu nikawa naangalia kidogo nilie hadi kidogo nigonge...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom