Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,781
Tushajaribu sana hizo Mwana. Huu ni mchezo wa Bahati haijalishi unawekaje coz kuna vitu kwenye mechi huwezi kuvikontrol kama mchezaji kupigwa red kijinga then anakukost mkeka wako. Uzembe wa mchezaji uwanjani then goli linarudi dakika 90 au half time anapigwa 3 kwa hiyo ikiwa Bahati yako ni yako ukiwa wapigwa nanutapigwa kweli.
Mbona hapa mwenge SUPABETS watu wanakula milioni 6,8 nk na options za kawaida tu ......sema Bahati yake. Nani alijua barca angepigwa 4
Mbona hapa mwenge SUPABETS watu wanakula milioni 6,8 nk na options za kawaida tu ......sema Bahati yake. Nani alijua barca angepigwa 4