Yaani ule mkeka wako kama vile ndo umeniongezea nuksi!
Hebu kesho nitafutie mwingine, maana leo nina majonzi ya kufungwa na Yanga pia.
Huyu Chelsea huyu
Yaani saa hizi nina gundu na soka, nikikopi mkeka wako tu ujue tunaliwa!
Kwa hiyo nakutakia kila la kheri na sitacopy.
Ndugu Raimundo copy huu wangu. Nakutolea gundu lako. Weka stake ya maana.
Psg 2-4
Arsenal 2-4
Man city 2-4
Bayern 3+
Man U 2-4
Arsenal win
CSKA win
PSG win
Chelsea win
Man city win
Liverpool win
Wadau nisaidieni nataka kuinstall app ya meridianbet na nimeshainstall ila nikitaka kuifungua inaniambia check your internet connection or region access restriction. Nifanyeje wadau ili niweke mkeka fasta?
BET WON
leo game zilikuwa ngumu kidogo.. tunashukuru mwenyez mungu hata kwa kidog..
Hongera mkuu hata mie jana nimepiga ka30 kwenye buku2 ivi inachukua muda gani ukiiwithdraw hiyo ela kuingia kwenye account ya M PESA .
Hahah inaonekana mhindi alikua qnakutesa sana tangubnakuona humu ulikua hujawah kuwithdraw?
Sasa mkuu hako ka buku 30 si bora ukaache tu humo humo ili ukatumie tena wiki ijayobkutandaza mikeka
utabiri wa Teja Kesho:-
-LEICESTER CITY VS ARSENAL (GG)
-MAN UNITED WIN
-REAL MADRID WIN
-HIBERNIAN F.C WIN
-CARDIFF WIN
-PSG WIN
NIMEMALIZA MAONI USHAURI KARIBU Jr
Jamani kuna mtu ametoa kwa mpesavkwa sisi wa online kwa siku za karibuni....ushuhuda