me najihis kama cna bahat unajua nimeanza mishe za mpira toka 2004 nkiwa shule ya msing darasa la3. naufaham mpira vilivo. nikaansa kubet 2013 mara ya kwanza nkaliwa. nkaacha 2014 shughul ikaanza nkawa nakula kidogo na kuliwa. dau la juu kula ni buku 9 kawaida yangu kuweka mkeka ni buku tuu. mara moja nimeweka buku2, msimu ulopita ligi ilivoisha nkakaa kuvuta nianze pumzi msimu huu sema ni mle mle tuu. dau la juu kula nu buku sita. inshort nshaliwa kama elf35 ivi. tatizo cjui nn ila najua mungu yupo iko cku tuu. huwa naogopa kuweka hela kubwa kutokana na uwezo na hali yangu. nlichogundua timo moja huwa inanimaliza, hata kama ni ya kushinda naliwa mf. city vs juve, ya barca, na madrid jana cjui kwa nn, naumia sana wakuu,. now ntakua naweka both team will score naona hii option iko poa kuliko ila ya 45, normal au handcap. nalia uuuuuuwi mungu njoo nione huruma jamn nategemea hii biashara, i love you Dear GOD plz usiniache mtoto wako. wadau nipen mautundu najihic kama cna bahat na hili game