MBOPOLI
Senior Member
- Aug 12, 2015
- 160
- 27
yaonekana wewe ulikua unasikia kuhusu kubet kutoka kwa watu au mtaani huko ,na wewe ukaingia mzigoni na ukapigwa hela kibao ukapata hasara na ukapoteza network ya ubongo..halafu nafikiri ukawashauri wale wanaobet jero wanategemea laki..wengine sisi unaweka hela kubwa timu chache unarelax unasubiri mpunga umesikia wewe TIGOLeo nimegundua kua vijana wa betting wanatumia kilevi kichwani mwao
Matusi yako na dharau zako nishakusamehe cz najua viroba vibaya sana
