Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,595
Afu primier bet skuizi ukilipia ticket haionekani? And wakati wakulipia usipokua makini hela yote inatumika kununua ticket za aina hiyo mpaka hela iishe kwa wanaotumia app ya primier au ni mimi peke yangu?Kwa sasa ni BETPAWA https://www.betpawa.co.tz wapo vizuri (kuna unafuu mkubwa) wana options nyingi na bonus wanatoa hawa wajinga wa PREMIERBET premierbet.co.tz walikuwa wazuri siku hizi huduma zao mbovu watu wamewahama kabisa
Kushukuru siniua Maramoja kumbe maranyinginyingi tuu huwa hamna shida kumbe mi nlijua labda kuna kingine
Mkuu na kushauri hama Mimi mweye nilikuwa huko wakaniblock bahati nzuri ha kukuwa na salio.sasa no betpawa na parimatchAfu primier bet skuizi ukilipia ticket haionekani? And wakati wakulipia usipokua makini hela yote inatumika kununua ticket za aina hiyo mpaka hela iishe kwa wanaotumia app ya primier au ni mimi peke yangu?
Mzee mwenzangu umepotea aisee...Tunaanzaje? Usisahau kunitag mkuuKwema humu!!Naona msimu umerudi
Tuhamie wapi sasa mkuu maana mimi ni mfuasi wa corner booking na option nyingineMkuu na kushauri hama Mimi mweye nilikuwa huko wakaniblock bahati nzuri ha kukuwa na salio.sasa no betpawa na parimatch
Mnaotumia 1xbet vip Safaricom inafanya kazi? "Yaan kuweka na kutoa?
Leo mzungu was play master kstuingiza cha kike.
Game ya Liverpool v Man city yeye aliweka Man city v Liverpool.
This has been wrong kwa waliokufuata
Tuhamie wapi sasa mkuu maana mimi ni mfuasi wa corner booking na option nyingine
[QUOT nakushauri mkuu hamia kampuni betshop zilizo karibu na wewe mfano Mimi nimehamia play master na option karibu zote zipo
Hamia play master wapo vizuriTuhamie wapi sasa mkuu maana mimi ni mfuasi wa corner booking na option nyingine
Tazama Meli ishafika mzee.Huu Niliufata..Nasubiri.
Yeaah..tho liverpool home according to football rulesWala sio chaka. Hiyo game inachezwa neutral ground hakuna aliye nyumbani. Wanachezea wembley
Hayo matokeo ya correct score yskitoka kama yalivyo mnitag, sins mb.Leo nimejaribu correct score DUKANI PLAY MASTER
man city v Liverpool (1-0) odds 9.5
Kenya v Tanzania OVER 2.5 ODSS 2.35
South Africa v Lesotho HT/FT 1/1 ODDS 1.59
JUMLA ODDS 37.76
Kama una chenji iliyobaki waweza kuvaa hili Bomu.
Kitulize! We kinachokuuma ni kitu gani?Hivi hapa mnavoshauriana mnakulaga hela kweli???
Pole mkuu.Leo nimejaribu correct score DUKANI PLAY MASTER
man city v Liverpool (1-0) odds 9.5
Kenya v Tanzania OVER 2.5 ODSS 2.35
South Africa v Lesotho HT/FT 1/1 ODDS 1.59
JUMLA ODDS 37.76
Kama una chenji iliyobaki waweza kuvaa hili Bomu.
ngapi injiniaPole mkuu.