Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1.50 ODDS ROLLOVER

Day1✅✅✅
Day2✅✅✅
Day3✅✅✅
Day4✅✅✅
Day5❎❎❎
Day6✅✅✅


Spain-1(basketball)✅✅
Czech Republic-2(basketball)✅✅
Shoot it Dragons-2(basketball)✅✅


Odds:1.53won✅✅✅✅✅🤘🏾
#FIFA19
 
Acha mambo ya ******* basi kuwa mwanaume kama umeleta tip mtu akatembea nazo atakushukuru kwa wakati wake sio kuleta hizo taarabu zako
 
Mkuu labda stake nzuri kwa odds 2 kwa cku zisizidi na pia ukubali kucheza mara moja tu saingine unasema ntafute odds 2 za mapema bdae ncheze nweke tena yani hizo mbili hata kama timu 1 asubuhi na nyengine ucku....vinginevyo ngumu sana
 
Acha mambo ya ******* basi kuwa mwanaume kama umeleta tip mtu akatembea nazo atakushukuru kwa wakati wake sio kuleta hizo taarabu zako
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mbona unahasira hivo.. Umedundwa sana nini.. Af kiongozi kasema tu kama hujapata odds 10 acha betting.. Hakuna utaratibu alouweka.
Pole aseee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mbona unahasira hivo.. Umedundwa sana nini.. Af kiongozi kasema tu kama hujapata odds 10 acha betting.. Hakuna utaratibu alouweka.
Pole aseee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kauli hizo kwenye biashara kuna kupata na kukosa....aliekosa haimaanishi aache kufanya biashara kisa wengine wamepata
 
Kwa experience yangu binafsi, huwa napata pesa. Hizi za hapa na pale, 30k 40k 50k 60k mpaka 70k huwa nazipata sana tu ila si milioni ya kusema nitajirike, lah! Kuliwa kupo maana kwenye betting hakuna option safe ya kusema usiliwe na ule daily, NO.

Mimi nilichokigundua ni kwamba, odds 1.8 & 2 huwa zinanipotezea tu wakati, why? Ni hivi, nilikuwa natafuta hizo odds kisha naweka stake kubwa ila nilichokuja kupambanua ni kwamba aidha narudisha tu pesa niliyobetia ama napoteza kabisa. Naweka mikeka miwili ya odds mbilimbili, nakula mmoja mwingine naliwa, yani naenda mbele na kurudi nyuma hapohapo au inaliwa yote ama nikila zote kesho zikarudi.

Nikaja kuona kwamba nahitaji odds 3 kwenda mbele ili kutengeneza mazingira ya kupata pesa hata kama napoteza mikeka mingi kuliko ninayokula. Yani nipate njia ambayo katika mikeka mitano, nikila miwili naona PESA. Ndo nikaja na haka ka njia kangu ka "Meli hiyooooo!"

Ambapo najitahidi kutafuta odds 3 kwa mechi kumi kwa kutumia options za 0.5 (mechi nane au saba) kisha namalizia na 1.5 (mechi mbili au nyingi sana tatu tu). Kwakuwa natumia BETPAWA basi napata bonus hapo, odds 3 zinakuwa nne, tano ama 6 (inategemea).

Kila mkeka nakuwa uniform kwa kuweka alfu kumi tu (sitaki risk pesa kubwa maana matches ni nyingi). So kwa mtindo huo najikuta kwamba katika mikeka minne (stake 40,000) nikishinda mmoja tu sina hasara kabisa. Nikishinda miwili ni MAPESA.

Na silazimishi mechi. Ni kheri nikaweka mkeka ukadumu wiki nzima kuliko kufosi mechi siku moja. Yani natanguliza kujiridhisha kwanza kuliko haraka.

Nashukuru nasonga.
 
Kiukweli kabisa kinachonigharimu ni kukosa displin kwenye betting, naamua kabisa kuweka timu mbili au tatu but najikuta nishaweka hadi 8, kwa option mi napenda direct win na ndio mana naluz sana najaribu sana kujicontrol ila najikuta tu nishaweka
mkuu yani wewe nikama Mimi yani huu mchezo unahitaji nidhamu ya hali ya juusana lasivyo tu na mchangia kanji kila siku
 
Ushauri mzuri brother
 
Why AUROLA MBOLIVIA AND WANDERES KOKKKORO CHALI ODDS 500+
 
Mechi 2 zimezingua
posible won
Mkeka A.1,000,000
Mkeka B.600,000
Mkeka C.300,000
Mamaeeeeeee aurora na wanderes america kusini home unasare pumbafu
 
Babu leo vipi usitusahau katika ufalme wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…