BDo sjaelewa.....yani ukibashiri ukashinda si unapata millioni 100 sasa huyo kabashiri kashibda iweje apate millioni 500.....au ikiokea wote mkikosea zile ela zinaaccumulate afu zinakuja liwa na mmoja.....em baeleze baelezee
Rudia soma hapo kwenye swali la kwanza
Withdraw watumia mpesa ya safaricom
newcastle, udines wameniumiza sana juz
Leo mimi hivy timu kumi na moja
beyerlevakunsen
barcelona
sevilla
borrus dot eeeh mungu kua na mm..
Jaman naomba kuuliza akikwambia game over 2.5 goals anaanisha nn?
over 2.5 goals maana yake match iwe na goals (kwa ujumla) yasiopungua 3. So match iwe na 3 goals ( na kuendelea. )
ile ya kwamba kila timu itafunga goli ndo ya ukwee