Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni kwel kabisa,hyo ya 0.5over hata mim nmeiona inafaa sana,sema ndo hvyo kuishinda tamaa sometime unajikuta umecheza option nyingne,unaliwa,sasa hapo kwenye maamuz hapo dah
 
mkuu ukiwekaaa na leooo usisauuu kuletaaa jana nilitembeaaa na ule wa mamilioni nimepatapo angalau kituh mkuu
Poa mkuu ndo nipo hapa najaribu kuunda SAFINA IANZE KUELEKEA ZANZIBAR LEO JIONI HADI JUMAPILI INAWEZA KUTUA NANGA..LEO NITASHARE MKEKA ODDS 6+
 
Naamin beting unaweza kuwin ukiwa na mtaji afu uachane na direct win
Mkuu nimekusoma mara kadhaa na wengine pia, mna sisitiza sana kwamba betting ni MTAJI MKUBWA...... Sio kweli kabisa
Lost haiogopi stake kubwa wala odd ndogo
Haiwezekani kila mara unadeposit elf10 na inafyekwa mara zote kisha utegemee ukiwa na milioni ndio utawin

Umewahi kusikia stori za watu walio wahi kubet kwa hela za ada, mkopo kuweka bond vitu nk kisha wakataka kujiua baada ya lost?
Hawa wote ni waumini wa betting ni mtaji mkubwa

Niliwahi kuamini hivyo, Nika deposit 1m kisha nikawa nacheza na odd za kuanzia 1.02 nakuala elf20, 1.10 nakula laki mwisho ilikua odd 1.2 nakula laki2
My friend sikumaliza wiki odd 1.06 ikaondoka na 1m
Nakumbuka game ilikua 0 - 0 hadi dk 85, nikaweka under 1.5 odd 1.06
Hadi dk ya 90 goli mbili hizo nika lost
Nikapiga hesabu nikawa na hasara ya laki 6

Mara nyingi sana nimeisha deposit elf10 na nikaipeleka mpaka 1m na tena hata mwezi hauishi

Accuracy ya bashiri zako ndio kila kitu kwenye betting
Issue kubwa ni je ufanye nini ili bashiri zako ziwe na ratio nzuri ya winning?

Sijawahi kuwa muumini wa odd ndogo zaidi ya 2+
Odd ndogo zinakuweka kwenye nafasi ndogo ya faida ukilost single bet
Odd kubwa zinakupa faida kwa winning chache lakini ni ngumu kuzipatia
Nahakikisha nikibet mara 10 nikawin 4 tu nihesabu faida
Na sio nikibet mara 10 nika lost 2 tu nakula hasara
It's all about lose and recovery, lose is must
Nahakikisha michache itakayo win ije na recovery ya lost pamoja na kafaida

Mwisho wa siku most of time the house always win
 
[05/08, 00:04] KING OPULENCE TWO: *exdfg*

Gangwon - Jeonbuk Hyundai Motors
Both Teams To Score + Total: Both Teams To Score - Yes + Total Over (2.5)

_1.75 odds_
✅✅✅✅
*mr opulence*
[05/08, 00:12] KING OPULENCE TWO: *ltdfg*

_2.33 odds_

Gangwon - Jeonbuk Hyundai Motors
Total: Total Over (1.5)
1.175 ✅✅✅
Tottenham Hotspur - Internazionale Milano
Total: Total Over (1.5)
1.23 ✅✅✅
Sparta Prague - 1. Pribram
Total: Total Over (1.5)
1.15 ✅✅✅
Partizan Belgrade - Macva Sabac
Total: Total Over (1.5)
1.16 ✅✅✅
Olimpija Ljubljana - NK Triglav Kranj
Total: Total Over (1.5)
1.21 ✅✅✅

*mr opulence*
[05/08, 00:12] KING OPULENCE TWO: *Z5D5ZGMQ*

NK Olimpija Ljubljana - NK Triglav Kranj
Both Teams to Score and Over 2.5
✅✅✅✅
_2.37 odds_

*mr opulence*
[05/08, 00:17] KING OPULENCE TWO: *rjvej*

_2.46 odds_

Red Bull Salzburg - Mattersburg
Total: Total Over (1.5)
1.13 ✅✅✅
Austria Klagenfurt - Liefering Salzburg
Total: Total Over (1.5)
1.155 ✅✅✅
Feyenoord - Sparta Rotterdam
Total: Total Over (1.5)
1.1 ✅✅✅
AZ Alkmaar - Fortuna Sittard
Total: Total Over (2)
1.115 ✅✅✅
Heracles Almelo - Heerenveen
Total: Total Over (1.5)
1.14 ✅✅✅
Gent - K.A.S. Eupen
Total: Total Over (1.5)
1.15 ✅✅✅
Royal Antwerp - Waasland-Beveren
Total: Total Over (1.5)
1.185 ✅✅✅

*mr opulence*
[05/08, 00:17] KING OPULENCE TWO: *2.85 odds*

_Z5D6J798_

Brondby - Horsens
Brondby Or Over 1.5 Goals1.04
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
Midtjylland - Aalborg
Midtjylland Or Over 1.5 Goals1.06
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
Feyenoord Rotterdam - Sparta Rotterdam
Feyenoord Rotterdam Or Over 2.5 Goals1.12
Chance Mix
✅✅✅✅
AZ Alkmaar - Fortuna Sittard
AZ Alkmaar Or Over 2.5 Goals1.10
Chance Mix
✅✅✅✅
Heracles Almelo - SC Heerenveen
Heracles Almelo Or Over 1.5 Goals1.06
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
KAA Gent - AS Eupen
KAA Gent Or Over 1.5 Goals1.04
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
Royal Antwerp FC - Waasland-Beveren
Royal Antwerp FC Or Over 1.5 Goals1.05
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
Wolfsberger AC - SK Sturm Graz
Wolfsberger AC Or Over 1.5 Goals1.12
1X2 or Over/Under Goals
*0-1* 😡💔❌
SKN St. Polten - SK Rapid Wien
SK Rapid Wien Or Over 1.5 Goals1.07
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
SK Austria Klagenfurt - FC Liefering
SK Austria Klagenfurt Or Over 1.5 Goals1.06
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
CSKA Sofia - OFC Botev Vratsa
CSKA Sofia Or Over 1.5 Goals1.06
1X2 or Over/Under goals
✅✅✅✅
Lokomotiv Plovdiv - Ludogorets 1945 Razgrad
Ludogorets 1945 Razgrad Or Over 1.5 Goals1.10
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
Roskilde - Skive
Skive Or Over 1.5 Goals1.10
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅
Naestved - Kolding
Naestved Or Over 1.5 Goals1.11
1X2 or Over/Under Goals
✅✅✅✅

*mr opulence*
[05/08, 00:18] KING OPULENCE TWO: *2.36 odds*

_k5cfj_

Vikingur Gota - NSI Runavik
Total: Total Over (1.5)
1.11 ✅✅✅
Kashiwa Reysol - Ryukyu
Total: Total Over (1.5)
1.152 ✅✅✅
Bayer 04 Leverkusen - Valencia
Total: Total Over (1.5)
1.16 ✅✅✅
Barcelona - Arsenal
Total: Total Over (2)
1.1 ✅✅✅
Olympique de Marseille - Napoli
Total: Total Over (1.5)
1.18
Young Boys - Lugano
Total: Total Over (1.5)
1.16 ✅✅✅
Fredrikstad - Orn-Horten
Total: Total Over (1.5)
1.06 ✅✅✅

*mr opulence*
 
MAXB
DAY 1-BOOOOM
DAY2- BOOOOOM
DAY 3- BOOOOOM
DAY -4 BOOOOOM
DAY 5- BOOOOOM(YESTD)
 
ALL D BEST
Climax
Blessed and favored week👏👏
2+odds

Derry City FC - Waterford FC
1 or Ov(2.5) 1.23

3921
Lyngby - Aarhus
(2:0) 1 H 1.30

1680
FK Buducnost - FK Rudar Pljevlja
(0:3) 2 H 1.42

Odds2.27

Z5CZVHJQ

©🥈💫🌟
 
Mkuu mtego mkubwa wa betting ni jinsi ya kupambanua odd, stake, lost na won

Tunajua sote hapa kwa habari ya number of bet basi bookie siku zote atashinda

Yaani ukichukua jumla ya bet zote ulizocheza ni lazima lost zitakua nyingi kuliko won

Isuue ni je ufanyeje ili win chache utakazo pata ziweze kuziba hasara na kuleta faida ya lose utakazopata?

Mkuu strategy yako naielewa sana ya odd 3+
Kati ya bet 10 unahitaji won kuanzia 3 tu kufuta hasara na kuanza kuhesabu faida
Ingawa pia naelewa ugumu wa kupata odd 3 sio mchezo pia, hapa sasa ndio ulipo mtihani

Kingine kinacho angusha wengi ni kutokua na kiwango cha stake ili kupangilia bet zako against odd
 
[05/08, 12:33] KING OPULENCE TWO: *h1fgj*

_2 odds_

Buducnost Podgorica - Rudar Pljevlja
1X2: Buducnost Podgorica
1.216
Syria - Yemen
1X2: Syria
1.21
Roberto Bautista-Agut - Bernard Tomic
1X2: Roberto Bautista-Agut
1.192
Stromsgodset - Bodo-Glimt
Total: Total Over (1.5)
1.168

*mr opulence*
[05/08, 12:33] KING OPULENCE TWO: Roberto Bautista-Agut - Bernard Tomic
Cs 2:0 @1.55 odds

*mr opulence*
 
PLAY SINGLE FT X
FC VOLUNTAR
ASTARS GIURGIUR
HB TORSHVAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…