Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaha Kama ni kweli lazima ipigwe zengwe la maana, hawa kina betpawa ndio utakuwa mwisho wao maana wanabana odds na options mpaka wanakera na mechi nyingi hawaziweki yaani ndio utakuwa anguko lao, yaani 1xbet hata Kama hawatakuwa na bonus na watakata Kodi poa tu as long as wanarudi na options zao za hela ....
 
Stay Tuned....Ijumaa Sio Mbali Wakuu!!! Tafuteni Tu Mitaji,Mambo Mazuri Yashaiva huko!!!
 
True
 
Mzee upo jikoni kabisa nn maana hii taarifa ni ya moto hata haija poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…