Mkuu umenena kweli , kubet ni maradhi makubwa sana me tangu nimeanza kubeti nikiangalia hasara inalailia kwangu , kuacha nashindwa , siku ukila faida kidogo kesho yake unanyang'anywa na mtaji wako. Kiukweli kubeti ni ugonjwa mpya tumeletewa na bila kuchukuwa hatua tutazeeka vibaya .Kubeti ni uchawi kabisa..mm mpaka sasa nimeshamaliza option zote still hakuna kitu nikahamia kwenye basketball na kwenyewe ni vipigo tu..nikasema labda nijaribu Volleyball lakin wapi ni Yale Yale tu....In fact hakuna kazi ngumu Kama betting...ukiona mtu anashangilia amewino mkeka ujue huko kwenye bet history kuna lost za kufa mtu[emoji16][emoji16]
Tatizo kubwa linalotufanya tuliwe ni mtaji. Ukiwa unastake kuanzia 1mil ndio utaona raha ya betting.Mkuu umenena kweli , kubet ni maradhi makubwa sana me tangu nimeanza kubeti nikiangalia hasara inalailia kwangu , kuacha nashindwa , siku ukila faida kidogo kesho yake unanyang'anywa na mtaji wako. Kiukweli kubeti ni ugonjwa mpya tumeletewa na bila kuchukuwa hatua tutazeeka vibaya .
mmeletewa huo ugonjwa wewe na nani..? mtazeeka vibaya na nani..? hahaaaahaaa....hiii kazi zina wenyewe..yakikushinda kalime mapera na nyanya....Mkuu umenena kweli , kubet ni maradhi makubwa sana me tangu nimeanza kubeti nikiangalia hasara inalailia kwangu , kuacha nashindwa , siku ukila faida kidogo kesho yake unanyang'anywa na mtaji wako. Kiukweli kubeti ni ugonjwa mpya tumeletewa na bila kuchukuwa hatua tutazeeka vibaya .
Jambo ambalo nimeligundua kwenye huu Uzi ni kwamba wengi wetu tunaoufutilia huu Uzi tunabet kimasikini. Wanaobet kwelikweli wala hawana time ya kuchangia hapa.mmeletewa huo ugonjwa wewe na nani..? mtazeeka vibaya na nani..? hahaaaahaaa....hiii kazi zina wenyewe..yakikushinda kalime mapera na nyanya....
Kaka daaa may be nikupe wewe uamue mwenywee leo sibetTunaomba tips za Leo bro
Tatizo ni nini?Jambo ambalo nimeligundua kwenye huu Uzi ni kwamba wengi wetu tunaoufutilia huu Uzi tunabet kimasikini. Wanaobet kwelikweli wala hawana time ya kuchangia hapa.
Jilipue tu mkuu upige hiyo 330K.Wazee nataka nijilipue hapoView attachment 1173482
Hata sijui mkuu. Ila kuna watu wanamlamba kanji zaidi ya 2m dailyTatizo ni nini?
Hiyo lazima niipate, dakika 45 za mwanzo tu kitu kitasomaJilipue tu mkuu upige hiyo 330K.
Uende tu polepole sawasawa na ID yako usije ukajikwaa!Wazee nataka nijilipue hapoView attachment 1173482
Uoga wako ndio umasikini wakoUende tu polepole sawasawa na ID yako usije ukajikwaa!
Hii lazima itoeMAXB DAY SEVEN๐๐
ALL D BEST
ROMANIA
AFC ARGES WIN
CLUB BRUGGE OV 1.5
(UEFA)
AL HILAL OV 1.5 (AFC)
ODDS 2.05
ALL D BEST
Pick 4 any n enjoy 2+ odds maxb*RATE ๐ 50/50*
*POWERED BY Pdidy
1795 Championship 1
Newry City AFC - Loughgall FC
*2-5 Goals 1.26*
1759 Championship 1
Ards FC - Harland and Wolff Welders FC
*2-5 Goals 1.24*
2096 Bremen-Liga
Habenhauser FV - SV Hemelingen
*2-5 Goals 1.28
2083 Bremen-Liga
TuS Schwachhausen - Blumenthaler SV 1919
*2-5 Goals 1.30*
2082 Bremen-Liga
FC Union 60 Bremen - BSC Hastedt
*2-5 Goals 1.50*
1748 Challenge Cup
ST Mirren U21 - East Kilbride
*2-5 Goals 1.22*
1717 Challenge Cup
Queens Park - Celtic Glasgow U21
*2-5 Goals 1.26*
1708 Challenge Cup
Livingston FC U21 - Formartine United
*2-5 Goals 1.21*
1583 Challenge Cup
Brora Rangers - Aberdeen FC U21
*2-5 Goals 1.24*
1304 EFL Trophy
Rotherham - Manchester United U21
*2-5 Goals 1.27*
1253 EFL Trophy
Swindon Town - Chelsea FC U21
*2-5 Goals 1.26*
7653 UEFA Europa League, Qualification
FK Sutjeska - Linfield FC
*2-5 Goals 1.38*
4052 UEFA Champions League, Qualification
Apoel Nicosia FC - Qarabag FK
*2-5 Goals 1.58*
2586 UEFA Champions League, Qualification
GNK Dinamo Zagreb - Ferencvarosi TC
*2-5 Goals 1.30*
2600 UEFA Champions League, Qualification
PAOK - Ajax
*2-5 Goals 1.35*
๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ๐ดโโ๏ธ
ยฎ