hii meli naipanda, tuombe mungu tufike salama tuu hapa!Wazee wa feri,......
I can win 61K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-5df9076c5 View attachment 1176247View attachment 1176248
Sjawahi kuitumia
Wajaribu Parimatch, ukiwaelewa wako vizuri
Napenda uliza
Wale wenye Prepaid kutoa hela 1xbet huchukua muda gani?
Nataka nizame huko daima maana huyu betpawa ananipangia mechi anazoona zinamfaa yeye
Jana nimetoa kihela changuAta michezo anachagua yeye atakayo. Mbwa yule sijui anafikiri wote wanabet kwenye football pekee. Mtu kama mimi ni mdau wa Snooker na Handball lakini yule mbwa koko haweki hiyo michezo.
Haina mkuu. Wako poa sana na option nyingi.Hv princessbet haina makato kama hawa wapuuzi wengne?
Haina mkuu. Wako poa sana na option nyingi.
Ipo yoteMkuu vipi kuhusu michezo ya Snooker, Baseball, Dart, Handball ipo kweli
Umewahi kutumia app yao uone ujinga wanaofanya. ERROR! ERROR! ERROR! ERROR ERROR!Hahahaa wamekufanya nini mkuu
Umewahi kutumia app yao uone ujinga wanaofanya. ERROR! ERROR! ERROR! ERROR ERROR!
Ipo yote
Umewahi kutumia app yao uone ujinga wanaofanya. ERROR! ERROR! ERROR! ERROR ERROR!
Nimewakimbia hao ******* bora kupambana na Pari kwa sasa.Yaani MERIDIAN wapo hovyo sana mpaka wanaleta kichefuchefu. Kuna pesa yangu kule kila nikiingia Website yao ni madudu tu wala hawapo hewani
Nimetoa kipesa changu naondoka dakika za jioni kama Lukaku.Wale kenge hawafai ata kidogo kwenye suala la Internet
Nimewakimbia hao ******* bora kupambana na Pari kwa sasa.
Leo ndo ijumaa mbona kimyaLabda nitoe angalizo tu wadau wa 1xbet,humu ndani kunaonekana kuna watu ni mawakala wa hizi kampuni za betting hivo kuweni makini nao sana,wapo wengi sana. Mimi na watu nilionao wengi mpesa kenya imerudi katika a/c zetu na tunafanya kama kawaida kutoa na kuweka tangu jana. Sasa kuna mtu anakuja na kusema eti mimi nalisha watu tango pori,sawa fresh tu....wote humu nia yetu ni kumpiga kanji/muhindi za uso na kama ninaleta tango pori bakini na meridianbe,parimatch,betpawa zenu acha sisi tunaotumia 1xbet tuendelee kula optains za kibane....ASUBUHI NJEMA WADAU!!!!
Mkuu betpawa unatumia browser au app, Kama Ni app naomba link ya apk ya app isiyo na matangazo......Wazee wa feri,......
I can win 61K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-5df9076c5 View attachment 1176247View attachment 1176248