Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napenda uliza
Wale wenye Prepaid kutoa hela 1xbet huchukua muda gani?
Nataka nizame huko daima maana huyu betpawa ananipangia mechi anazoona zinamfaa yeye
Ndani ya dk 15, ila kuweka muda huo huo
 
LEO NI IJUMAA MKUU, VIPI?
 
We jamah weka kaushahidi basi usiwe na maneno mingi
 
kwa nini mnatumia 1xbet wakati kutoa ela inawapa shida

Kila siku naona watu mnaulizia
 
Kwako kama Mpesa Kenya haijarudi kuwa mpole kuna ishu wanamalizia kila mtu ataiona. Tuache maneno maneno kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…