Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Copy and paste ya MchezaPigabet wanaweka mechi hadi za mchangani hawa jamaa hawachagui [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nimeielewa mkuu..Hii option ni gari la mshahara
Boooooom[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]View attachment 1177408View attachment 1177409
Kuna kodi ila mimi ndiko niliko kwa sababu hawachagui mechi hadi za mchangani zipo na zote unaweza kuzibetia kwa livebetAnaetumia pigabet atoe experience,wako njema?
Naona wana option nyingi
Nawaelewa sana mkuu hawa wamenivutia na customer care yao yani wakikosea jambo ukawarukia hewani ni mpaka uridhike la sivyo kamdada kataendelea kubembeleza tuCopy and paste ya Mcheza
Sijui ni kampuni ndugu?
Njooni Parimatch achaneni na hao wababaishaji...
Kiasi Parimatch wanajielewa.
Jana nimetoa hakuna tatizo ila hata wakihitaji siyo suala gumu.Mkuu lile suala la kutoa pesa mpaka uwe na ID ni kweli?
pamoja mkuuKAMA UMECHRZA HII TKT NIMEWEKA USIKU SUBIRIA MANCITY HT OV 0.5 UKALE SUPU NA MRIJAA....OTHERS ALREADY BOOMView attachment 1177387
Ah ah ah..wameni impress mkuu.Kuna kodi ila mimi ndiko niliko kwa sababu hawachagui mechi hadi za mchangani zipo na zote unaweza kuzibetia kwa livebet
.
Kwenye ku_withdraw sasa wakichelewesha hata dk 10 tu wananirukia hewani na kuomba radhi, customer care yao ni the best huwezi piga simu isipokelewe, juzi kati hapa nilipiga bahati mbaya nikakata mwenyewe nikarukiwa hewani hahaha nimewapenda