Bet bhana! Kuna siku Over 1.5 yenye 0.5 Oddd (gemu ya kina mama) iliharibu; na pia kuna mkeka ulichanwa na Over 0.5 goal yenye odd 0.2.
Nafanya reflection hapa, najicheka mwenyewe.
BaelezeeLeo kuna maajabu yatatokea
Mkuu Babapecha, hivi nitajuaje kama pesa ishafika kwenye kadi? gharama za kadi ni sh ngapi? Hakuna makato wakati wa kutoa?
Nami nashiriki katika maombi, maana betpawa ukiweka 30 ukatia jero inakuja 900,000Leo EFL itafanya maajabu
Naombea 2+ mechi zooooote
Mkongwe hapa ngoja niende na Medvedev...
Monfils huyu jamaa siku hizi kawa nyanya sanaaa
Pole mkuu tenis niliacha kuibetia kwa ujinga km huuDaah mkongwe kweli ulisema, hili fala limeenda na 50K yangu.
Lilienda vzr set ya kwanza likaongoza kwa games 5-2 ... zikaanza kurudishwa limesimama kindezi tu. Mijitu mingine haijui tunaweka hela zetu. Kenge kbs hili Monfils.
Treni leo n mwendelezo tu, tulianza nalo toka juzi nilipostLeo hakuna treni..?
2[emoji736]Kazi kwenu, Pia usisahau kuunda clusters za odd mbili mbili. Tukutane baadaye.View attachment 1180288View attachment 1180289
Pole mkuu tenis niliacha kuibetia kwa ujinga km huu
2[emoji736]
3[emoji736] Cluster ya 1 WONKazi kwenu, Pia usisahau kuunda clusters za odd mbili mbili. Tukutane baadaye.View attachment 1180288View attachment 1180289
Daah pole sana mkongwe..Monfils siku hizi kawa ndezi..Daah mkongwe kweli ulisema, hili fala limeenda na 50K yangu.
Lilienda vzr set ya kwanza likaongoza kwa games 5-2 ... zikaanza kurudishwa limesimama kindezi tu. Mijitu mingine haijui tunaweka hela zetu. Kenge kbs hili Monfils.