Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo [emoji23][emoji23][emoji23]Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Jana Liverpool nikaanza kuwaza labda niingie mimi nicheze angarau nirudishe hela yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh Lampard kabadili sana wale watu, wako vizuri sana.
Hii wikiendi lazima nimzalishe kanji kuna game 1800+ nikose odds 3 kweli????Naam wakiendelea hivyo naona ushindi mkubwa mbele yao siku ya jpili
nambie mkuumkuu
Hii wikiendi lazima nimzalishe kanji kuna game 1800+ nikose odds 3 kweli????
Japo website yao inaganda.Wakuu nimewajaribu hawa pigabet nimeona wako njema. Niliwajaribu kwa kiasi kidogo ili nijue wako vipi katika utoaji wa pesa. Ndani ya dakika 5 wanakutumia pesa zako ulizo hitaji.
dua imefika mkuunambie mkuu
Hapo kuna goli.. ila hawa ******* betpawa wameipiga kufuriGuangzhou na mwenzake wamekimbia lori la mafuta hakuna wa kuchomoa betri.
Hakuna goli huku Parimatch iko wazi haijafungwa.Hapo kuna goli.. ila hawa ******* betpawa wameipiga kufuri