Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nashangaa, Torino asipotoa Over 1.5 inabidi nilale mapema hakuna namna. Hali ni tetee ...
Torino atatulaza wengi mapema leo.
Jamaa ana advantage ya goli zake 5 za first leg ndio maana hana munkari [emoji2962]
 
ile teniss mkuu vip

Tennis imekuwa ngumu sana mkuu ... mkeka umechanika, na wote wamekosa game moja moja.

Yani niliowapa Over 22.5 wameishia game 22, na niliowapa over 21.5 wameishia game 21.
Yani utasema ni uchawi mamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…