King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 71
PSV
Mchawi wa 0-0 europe leo namwona kabisa
Mchawi wa 0-0 europe leo namwona kabisa
maavii,huyo kishawalaza watu njaaYeah wanaweza nenda hata matatu
Sio kwa haya mapunguani.Yeah wanaweza nenda hata matatu
Ndo mana lipo Europa, wenzake wako UEFA.Kuna timu zinajidhalilisha sana.
Mbona PSV Hana dumu hata moja anataka kufanya nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiunge MB ufungue account Parimatch. Wako vizuri!kampuni gani nzuri? premier wanasumbua mtandao