Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

12313 Aberdeen - Rijeka
Over/Under (1.5)
Mark: Ov.
1.30 ✅

12337 Espanyol - Luzern
1X2
Mark: 1
1.38 ✅

20865 Vikingur Reykjavik - Breidablik Kopavogur
Over/Under (1.5)
Mark: Ov.
1.13 ✅

Total Odds
2.03 ✅

🍏
 
Wale wazee wa MAKONTENA ... vitu vizitovizito .... I can win 59K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-3bf3cef20 View attachment 1182453
20190816_002822.jpg
 
OV 1.5
(KESHO UKALALE
BUYERN M
BARCELONA
FULHAM
JEARTS
RAPID VIENNA II
CARMATHERN
HAGL
DA NANG OV 1.5
BASEL U21
BOCHUM
NUMBERG
VITESSE
SONCHI
CLUB BRUGGE
PASCOVALE
AVONDALE U21
WETZ
LIEFERING

PICK UR LUCKY
ALL D BEST
 
TKT -1
OV 1.5
BARCELONA
MANCITY
LIVERPOOL
KOLN
BENFICA
ALMERECITY
FERNABACHE
*MAXB*
 
TKT -3 ( *3 ODDS*)
*ALL OV 2.5*

VITTESE
ALMERE CITY
BUYERN MUNCHEN
 
*RISKY TAKERS*
ALMERE GG
VITTESE GG
LYON DC
BARCELONA OV1.5
MANCITY OV1.5
*MAXB*
 
naombeni tofauti ya hizi
1.over 0.5
2.over 1
3.over 1.5
4.over 2
Over 0.5 maana yake magoli yapatikane kuanzia 1 na kuendelea mfano 0:1, 1:1, 0:2, 2:1, etc Ila game ikiisha 0:0 mkeka umechanika

Over 1 maana yake ni kuwa magoli yapatikane kuanzia 2 na kuendelea mfano 2:0, 1:1, 3:1, 0:3 etc Ila kama ikitokea mechi imeisha 1:0 basi hiyo bet yako itakuwa refunded maana yake haitahesabiwa kwa tafsiri nyingine kama ulishawahi kusikia kitu kinaitwa draw no Bet basi ni sawa ni hii Ila hii wanaangalia idadi ya magoli,

Over 1.5 maana yake magoli yaanzie 2 nakuendelea mfano 2:0, 1:1, 2:1 etc Ila kama game imeisha 1:0, 0:0 basi hapo mkeka unakuwa umechanika na hapa hata kama game itaishia kwa jumla ya goli 1 hakutakuwa na option ya kurefund kwa sababu over 1 na over 1.5 ni vitu viwili tofauti.

Over 2 maana yake magoli yapatikane kuanzia 3 na kuendelea mfano, 3:0, 2:1 etc Ila kama magoli yataishia 2 exactly basi bet yako kwa hiyo game itakuwa refunded mfano game imeisha 2:0 au 1:1 hii itakuwa refunded...

Kitu cha kuzingatia ni kuwa refunding inafanyika kwa mechi ulizoweka hizo option tu!!! Maana yake mfano unamkeka wenye jumla ya mechi 5 na katika hizo mechi 5, game 2 umeweka option hizo mfano over 2 na over 3 na jumla ya odds labda 10 ikitokea hizo game mbili zimetoa exactly number of goals yaani 2 na 3 basi hazitahesabiwa, watahesabu hizo game tatu zilizobaki kama utakuwa umezipatia so kwa lugha nyingine odds kama mwanzo zilikuwa 10 basi zitapungua hazitakuwa tena 10
 
Wana michezo kama basketball, handball, volleyball?
Jamani yote ya Europa league tumwachieni ngoswe,,,Kuna kitu nimegundua kutoka kwny bookie moja ya kitanzania, Inaita SupabetsTanzania, iko njema nimebet now leo kwa mara ya kwnz mpunga wanatoa faster, option kama zote, yaani 1X2,double chance, handicap zote, GG, corner, cards, goal scorer, dkk za magoli kufungwa na mengneyo..Ndonikaona niwape wazo la kuchungulia huko, pia kila mtu kwa nafasi yake usiku huu, sometimes so lazma ukimbilie bookies za majuu, ukikipata kile unachokihitaji,...Tangu hela zng zigomee 1Xbet, nlihamia betpawa, lakn sasa hawa supbet, nadhani kidogo watakuwa mbadala wa 1xbet kwangu,,,sijui kwenu wahanga wa kudhulumiwa kama mimi.Mechi pia ni nyingi, CHUNGULIENI AFU MJE NA FEEDBACK. pamoja xn wakuu...
 
RISKYTAKERS

3 ODDS

VITESE WIN
BARCELONA WIN
LYON WIN
B.MUNCHEN OV1.5
 
Vipi kuhusu Michezo kama Dart, Snooker, Australia Rules, Rugby, Baseball, Tennis, basketball, volleyball, Esport n.k ipo kweli?

Back
Top Bottom