Over 0.5 maana yake magoli yapatikane kuanzia 1 na kuendelea mfano 0:1, 1:1, 0:2, 2:1, etc Ila game ikiisha 0:0 mkeka umechanika
Over 1 maana yake ni kuwa magoli yapatikane kuanzia 2 na kuendelea mfano 2:0, 1:1, 3:1, 0:3 etc Ila kama ikitokea mechi imeisha 1:0 basi hiyo bet yako itakuwa refunded maana yake haitahesabiwa kwa tafsiri nyingine kama ulishawahi kusikia kitu kinaitwa draw no Bet basi ni sawa ni hii Ila hii wanaangalia idadi ya magoli,
Over 1.5 maana yake magoli yaanzie 2 nakuendelea mfano 2:0, 1:1, 2:1 etc Ila kama game imeisha 1:0, 0:0 basi hapo mkeka unakuwa umechanika na hapa hata kama game itaishia kwa jumla ya goli 1 hakutakuwa na option ya kurefund kwa sababu over 1 na over 1.5 ni vitu viwili tofauti.
Over 2 maana yake magoli yapatikane kuanzia 3 na kuendelea mfano, 3:0, 2:1 etc Ila kama magoli yataishia 2 exactly basi bet yako kwa hiyo game itakuwa refunded mfano game imeisha 2:0 au 1:1 hii itakuwa refunded...
Kitu cha kuzingatia ni kuwa refunding inafanyika kwa mechi ulizoweka hizo option tu!!! Maana yake mfano unamkeka wenye jumla ya mechi 5 na katika hizo mechi 5, game 2 umeweka option hizo mfano over 2 na over 3 na jumla ya odds labda 10 ikitokea hizo game mbili zimetoa exactly number of goals yaani 2 na 3 basi hazitahesabiwa, watahesabu hizo game tatu zilizobaki kama utakuwa umezipatia so kwa lugha nyingine odds kama mwanzo zilikuwa 10 basi zitapungua hazitakuwa tena 10