[emoji28][emoji28][emoji28]*Sports news:*
*Reporter*: How do you feel after scoring the winning goal which put your team through to the quarter finals?
*Football Player*: Am very happy. I dedicate the goal to my wife and three kids. l know they are watching. Love you guys.
This was how Zambia U-17 team was disqualified from the tournament in Rwanda. No other evidence of cheating required.
Under-17 player married with three kids? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Africa is great!
Mkuu odd ndogo kwa mkakati wa muda mrefu utafeli tu unless uwe na accuracy kubwa sana ya bashiri zakoKea mfano game zenyew kama hizView attachment 1182774
Azingatie saaana huu ushauriMkuu odd ndogo kwa mkakati wa muda mrefu utafeli tu unless uwe na accuracy kubwa sana ya bashiri zako
Hapo kama ulistake 100k tayari unaanzana na kubet kutafuta kurudisha stake na utahitaji si chini ya win 4 ili kurecover, ukilost tena utadeposit kuendelea kutafuta stake ulizopoteza
Sisemi kwamba odd kubwa ndio suluhisho la uhakika lakini angalau kuna matumaini ya kupunguza hasara mkuu
Endelea na huu mkakati ukiona unafeli nakushauri jaribu kuinvest kuchambua odd 2+
Hakikisha angalau ukibet mara 10 na ukashindwa mara 6 bado unapata faida
Na sio ukibet mara 10 na ukashindwa mara 2 au 3 tu unakula hasara
Anhaa,nmekuelewa sasa,nilikua sjakuelewa,..yaan atleast iwe 2times.yaan kama10k ikiwin upate 20k,ili ukilose hyo 10k ina coverMkuu odd ndogo kwa mkakati wa muda mrefu utafeli tu unless uwe na accuracy kubwa sana ya bashiri zako
Hapo kama ulistake 100k tayari unaanzana na kubet kutafuta kurudisha stake na utahitaji si chini ya win 4 ili kurecover, ukilost tena utadeposit kuendelea kutafuta stake ulizopoteza
Sisemi kwamba odd kubwa ndio suluhisho la uhakika lakini angalau kuna matumaini ya kupunguza hasara mkuu
Endelea na huu mkakati ukiona unafeli nakushauri jaribu kuinvest kuchambua odd 2+
Hakikisha angalau ukibet mara 10 na ukashindwa mara 6 bado unapata faida
Na sio ukibet mara 10 na ukashindwa mara 2 au 3 tu unakula hasara
Ucchukue odds chini 1.20 utajaza timuAnhaa,nmekuelewa sasa,nilikua sjakuelewa,..yaan atleast iwe 2times.yaan kama10k ikiwin upate 20k,ili ukilose hyo 10k ina cover
Mtihan uko kwenye kuipata hyo odd 2 aisee
Tafuta over 2.5 moja yenye angalau kuanzia 1.40 na over 1.5 zenye 1.20 na kuendelea hukosi odds 2 nzuriUcchukue odds chini 1.20 utajaza timu
Anhaa.sawa sawa,..ila dah kuzipata hzo vtu inabid utulie kwelkwel.....Ucchukue odds chini 1.20 utajaza timu
Mfano leo mechi ya bala town over 2.5 ya galatasaray over 1.5, mussapori 1.5 itakuwa odds 2Tafuta over 2.5 moja yenye angalau kuanzia 1.40 na over 1.5 zenye 1.20 na kuendelea hukosi odds 2 nzuri
2.5 naiogopa kinyamaTafuta over 2.5 moja yenye angalau kuanzia 1.40 na over 1.5 zenye 1.20 na kuendelea hukosi odds 2 nzuri
Ni kweli ila uwe na mtaji akikupga 100 yakwanza unatafuta odds mbili tena urudishe hela yakoMfano leo mechi ya bala town over 2.5 ya galatasaray over 1.5, mussapori 1.5 itakuwa odds 2
GG& OV 2.5MAXB MADURA UNTD
GG&OV2.5
MADURA WIN &OV2.5
OTHERS
OV3.5
Kama muoga hvyo acha tu2.5 naiogopa kinyama