Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nisaidieni hapa wazeee kabla sijaliwa kichwa
 

Attachments

  • Screenshot_20190816-171124.jpg
    Screenshot_20190816-171124.jpg
    32.5 KB · Views: 29
  • Screenshot_20190816-171119.jpg
    Screenshot_20190816-171119.jpg
    33.3 KB · Views: 28
  • Screenshot_20190816-171154.jpg
    Screenshot_20190816-171154.jpg
    33.3 KB · Views: 26
  • Screenshot_20190816-171141.jpg
    Screenshot_20190816-171141.jpg
    32.2 KB · Views: 26
  • Screenshot_20190816-171112.jpg
    Screenshot_20190816-171112.jpg
    33.3 KB · Views: 25
Parimatch wana cashout kwenye website tu? Mbona kwenye app sioni sehemu ya ku-cashout.
 
Mkeka unakuwa won kama hizo zingine zimeshinda.. Hiyo iliyopewa DNB inakuwa refunded kama ametoa draw.. Akishinda unalipwa kulingana na odds ilizopewa.. Akipigwa umeliwa..
Mkeka wenye odds 2, kama kuna match uliweka DNB na ikaishia draw, still odds zinabaki 2??
 
Back
Top Bottom