Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Stake isizidi 5k ... twende ... I can win 46K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! https://www.betpawa.co.tz/share-2d99e2a1d
20190818_222135.jpg
20190818_222152.jpg
 
Hv ushawahi kutoa pesa au kupoteza pesa kwa makusudi bila kulazimishwa?
Ndo kilichonitokea mm maana baada ya jana kupokea kipigo cha mbwa koko usiku nilitumia masaa kadhaa kupitia game za Amerika ya mbali huko zile za usiku ss sikupenda niweke game zitakazozidi usiku wa kuamkia leo but bahati mbaya kumbe nimeweka game mbili moja ya Mexico na nyingine ya Venezuela na kupata ODDS 9.5+Nikatia 10K ss naamka nakuta mkeka bado uko hai na game mbili zitachezwa leo sasa moja imepigwa imetoa freshi na moja inaanza saa tano Atletico Venezuela nilimpa direct win.

Sasa nimelazimika kumpa hela tu Kanji kwa kumpa mgeni wa Atletico Venezuela DC nimemaliza hela yote kwa akaunti yaani 12K so uamuzi ni wake Kanji atoe 95K au atoe 25K.

Hii kazi ni pasua kichwa aisee hapana mchezo kabisa.

Inabidi tuulizie kwa wataalamu wa afya hv haiwezi kutuletea madhara huko uzeeni kwa hizi pressure inazotupa???????????
 
Haha. Ndo usali wasitoke droo
 
hicho huwa nafanya sana inapobaki game moja.😄😄
 
Atl. Venezuela0 - 1Llaneros
 
kwann ziwe fixed
Wengi tunaobet si rahisi kuacha kuzipa win hizo team, hivyo makampuni ya kamari yanafanya biashara kubwa sana endapo baadhi ya hizo team zikipoteza point katika game zao.

Matokeo kupangwa bila ya watu kung'amua kama utakumbuka skendo ya Juventus kushushwa daraja inshort kuna mengi sana nyuma ya pazia katika betting zone.

Ukiwa makini sana utagundua kuna cycle fulani katika hizi timu kubwa sijawai ona zote zikishinda katika game zao za ligi kwa pamoja katika weekend husika.
 
Mechi za usiku america ya kusini huko, USA na madaraja ya chini ulaya ni safe sana na rate ya kupoteza ni ndogo. Huko ukichambua brain iko huru kung'amua pa kuweka mzigo.

Ligi kubwa akicheza Liverpool na Burnley tayari unakuwa na jibu mkononi kwamba hapa ni Liverpool kushinda ama kuwe na 2+ na ndipo kanji anakung'uta ipasavyo. Mbaya zaidi unakuwa umeweka mikeka kadhaa mechi ya hivi.

Mara nyingi napoteza mechi za weekend ligi kubwa ulaya, jana zenit, juzi barcelona, galatasaray leo alkmaar midtyland ila pesa kiasi kikubwa na recover na mechi za usiku mnene zile ambazo maamuzi ya niweke option ipi nayafanya baada ya kuangalia h2h.
 
Kwa nn unakuta mtu anangangana na direct win wkt kuna option inaweza kua sawa na point au zaidi ya win husika!! Hapo ndipo wengi tunafeli
 
Back
Top Bottom