VIDEO ASSISTANCE REFEREE
Hii kitu haijaanza mwaka huu ipo tangu miaka miwili nyuma hi n technology nzuri hasa huwapa furaha mashabiki lakini NI mwiba mchungu kwa wakamaria wengi Sana kwann unaeza fikiria n kiasi gani huku Africa imekua ikunufaisha upande wa wenye nacho tuu mpaka unafkir mbona hii refakideo inamaamuz ya upande mmoja tuu, au nenda world cup ilivyokuwa watu walikuwa wanaona maamuz ya refakideo ilkua inaziminya timu mataifa madogo kisoka na kuzipa nafasi timu kubwa.
BETTING COMPANIES NA VAR
kutokana na maamuz ya kupitia video Basi betting companies kupitia ligi wanayopatia faida kuliko n uingereza Basi wakapidi kuwashawishi kutenga fedha ili wakubali kuruhusu hii kitu japo uingereza ilikuwa ngumu mno kukubaliana na hii kitu sababu n watu wakiamua kukubaliana na Jambo flani Basi utekelezwa kwa 100% utimilifu na walijua italeta wasiwasi na hasa kupunguza ladha na huenda kupunguza mashabiki wao lakini KWASABABU ya pesa na mbinu nyingi chafu Basi wakakubali kuanza kutumia na hapohapo ndio ikawa furaha kwa betting companies kwan wanaweza kudili na mtu mmoja ambae haonekan kwa mashabiki na kuweza kukubaliana nae Mambo fulan kabla ya mechi na kukubaliana nayo kisiri kubwa Sana na hongo kubwa Sana ukitaka kujua Hilo angalia kwa umakin mechi ya city na Spurs like goli la G.Jesus kabla yakupokea mpira kule ulipotoka kunaonekana Kuna watu wamegusa mpira kwa mkono ule mpira ulipita kwenye mikono ya watu wawili pili ilikuwa ball to hand nasio handball lakin kutokana na sheria za VAR kuwa mwamuz aliamuru mpira usiende Kati angalia muda uliokuwa umepita n Zaid ya 75seconds fikiria kamasio kushangilia kwa muda mrefu city Basi mpira ungelikuwa umeanza nasio ajabu Spurs walikuwa wanaongezewa lingine au wanasazisha.
Angalia magoli ya Rahem S mengi ysmekataliwa kwa kuzid hata kidole tuu
Angalia magoli ya Chelsea dhid ya Liverpool ilvyokuwa
Angalia magoli mengi yanayokataliwa mengi n yakuipa timu kubwa ushindi au timu inayopambana Sana kupata ushindi na inauhitaji wa ushindi kulingana ba odds
Hvyo msimu huu mtarajia timu tofauti kumaliza big 6 ya uingereza sababu ya VAR nahii sidhan Kama itafika mbali itaanza kukataliwa ba timu his kubwa pamoja na mashabiki wao
NENO KWA WANAOBETI
Usijihusishe kubeti na ligi zenye VAR sanasana EPL na UEFA utajuta mzee
Hakuan watu tunajua kutafuta visingizio kama wakamalia......HAKUNA aisee
Utasikia, Sasa hivi ligi ziko ukingoni sio zakubet kabisa kila timu inakaza hadi za kushuka daraja
Ligi zikiisha utasikia hili friendly game sio za kubet kabisa makocha wanajaribu wachezaji na blah kibao
Ligi zikianza utasikia sasa hivi ligi hazijatulia wachezaji wajazoeana na blah blah kibao
Ligi zikichanganya utasikia direct win sio, mara ligi kubwa wana fix, mara kikapu mara hivi mara vile na blah blah kibao
Vipigo viko palepale tu
Haya sasa tunameanza na REFAKIDEO
jamani mathematically kumshinda bookies ni next to impossible, vinginevyo haya makampuni yangekua yameisha filisika lakini ndio kwanza yanaongezeka na yanamwaga mamilioni kusponsor ligi na team kwa stake zetu
Refavideo haimsaidii yeyote yule, goli likikataliwa au kukubaliwa litaathiri kote kote wa over atalia wa under atacheka, kama ulikua kuwasawazisha basi wa win to nill ata cheka wa gg atalia na kinyume chake
Binafsi toka ligi zimeanza hadi sasa nahesabu kupoteza muda ingawa sijala hasara kivile, mtaji unapanda na kushuka
So nadhani nipumzike kwa mwezi mzima kusafisha akili kisha ntarudi
All the best wakamalia