SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Tinasubiri ichanganyechanganye mkuu.Wazee wa kusubiri ligi zianze vipi maendeleo...Mmekula mikeka mingapi. Nimesikika au niongeze sauti....
Tinasubiri ichanganyechanganye mkuu.Wazee wa kusubiri ligi zianze vipi maendeleo...Mmekula mikeka mingapi. Nimesikika au niongeze sauti....
Hakuna market ambayo sio uganga wa kienyeji....... hakunaKucheza market zingine n kujifunza uganga wa kienyeji Yan first half no sub, sijui under 9.5 Kona , Mara no red card na nyingine kamahz n kujifunza uganga tuu cheza 1,2,3au 1x, x2, 12 hapa n lazima mtu atoe hata wakiingia wasimame 90minutes zote mwishowe lazima mtu atoe 1x, x2, au 12.
Kuanzia Tuesday, Wednesday, Thursday, Friday, Saturday, an Sunday mhindi kutengeneza pesa ndefu Sana bado leo
Kujipa likizo ya lazima ya kutokubet n muhimu ili ukirudi unakua unaziona option za hela ila ukiforce kupambana na muhindi lazima uumie tuu hamna option hapo
Uliamini anashinda au sio? [emoji23] [emoji23] hutoamini sana mzee... hamna mtu mwenye guarantee ya ushindisiamini psg alichonifanyia aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa unapata mizuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri mpira hauchezwi chumbani kila kitu kipo wazi. VAR haina miaka mitatu je hapo kabla walikua wanawin?Unavyo maanisha ni kama vile VAR ndio kila kitu mkuu
Hivi hiyo Var ndio inaamua kila kitu uwanjani kama point za boxing? Var inatumika panopukua na utata tu mkuu na uzuri ni kwamba hata wewe mwenyewe unaona kabisa
Haya mambo sio rahisi kama unavyofikiria mkuu eti unamuhonga var man, unafikiria ndondo cup hii mkuu
Dk 90 nzima timu inakata viuno wakati ingeweza kufunga hata goli 10, lakini var ikikataa tu goli basi viuno vyote tuna sahau tunakimbilia var kahongwa
Unajua vilabu vina invest mabilion mangapi ya dola kununua, kulipa mishahara ili kuchukua ubingwa au kushiriki uefa? Halafu eti wewe uliyeko manzese kwa mtogole unajua kwamba bookies kila wiki wanahonga var man ili timu kubwa angalau mbili zipoteze ili wao wapige hela halafu wenye kuinvest hawajui kuna michezo inachezwa wapoteze na kuvuruga mipango yao?
Upangaji wa matokeo upo haswa kwa timu kuhongana au kwenye nchi ambazo zipo na rushwa sana, na pia wakamalia ndio wahongaji na sio bookies
Bookies hawana haja ya kuhonga mkuu Odd tayari zimeisha wapa ushindi kabla hata ya game, ni wewe kuzipindua ili ushinde.....tamaa zetu zina mtosha bookie hana haja ya kuhonga refa
Wikiendi kuna game zaidi ya 1000 lakini unashindwa kipata hata odd1.5 unaanza kulia eti var kahongwa
Mkuu wanaopiga hela kwenye betting wapo sana tu mbonaUmeongea point mkuu, jamaa anamaanisha timu kubwa yeyote ikifungwa basi Kampuni za betting zimehonga. Siku zikishinda hazijaonga.
Pia mkuu usifanye hitimisho kuwa watu woote kwenye betting wanapata hasara, ni kweli wengi wanaliwa ila wapo wanaopata faida kubwa tu. Na mimi nimewaona sio kuhadithiwa. Kuna watu wana nidhamu na huu mchezo.
Hata humu wapo wenye nidhamu wanapata faida. Nidhamu ni kila kitu sio mtaji umepanda kidogo unaanza kubet unavyojua wewe.
Unavyo maanisha ni kama vile VAR ndio kila kitu mkuu
Hivi hiyo Var ndio inaamua kila kitu uwanjani kama point za boxing? Var inatumika panopukua na utata tu mkuu na uzuri ni kwamba hata wewe mwenyewe unaona kabisa
Haya mambo sio rahisi kama unavyofikiria mkuu eti unamuhonga var man, unafikiria ndondo cup hii mkuu
Dk 90 nzima timu inakata viuno wakati ingeweza kufunga hata goli 10, lakini var ikikataa tu goli basi viuno vyote tuna sahau tunakimbilia var kahongwa
Unajua vilabu vina invest mabilion mangapi ya dola kununua, kulipa mishahara ili kuchukua ubingwa au kushiriki uefa? Halafu eti wewe uliyeko manzese kwa mtogole unajua kwamba bookies kila wiki wanahonga var man ili timu kubwa angalau mbili zipoteze ili wao wapige hela halafu wenye kuinvest hawajui kuna michezo inachezwa wapoteze na kuvuruga mipango yao?
Upangaji wa matokeo upo haswa kwa timu kuhongana au kwenye nchi ambazo zipo na rushwa sana, na pia wakamalia ndio wahongaji na sio bookies
Bookies hawana haja ya kuhonga mkuu Odd tayari zimeisha wapa ushindi kabla hata ya game, ni wewe kuzipindua ili ushinde.....tamaa zetu zina mtosha bookie hana haja ya kuhonga refa
Wikiendi kuna game zaidi ya 1000 lakini unashindwa kipata hata odd1.5 unaanza kulia eti var kahongwa
Ikipinduka tu round ya pili ... Ngoma ngumu mshikemshike wakushuka hawataki... Kazi kwelikweliTinasubiri ichanganyechanganye mkuu.
Salam mkuu, hii wiki nimepata kipigo cha mbwa koko, na hii ni sababu ya kukosa nidhamu. Unakuta nimefanya analyze kabisa nimechagua game za kucheza. Na nimeweka mkakati nicheze odds 2.5 tu. Nikifika kwenye jamvi sasa!, nakuta nishaweka msururu mkuuuubwa wa game. Naambulia kipigo.Mkuu wanaopiga hela kwenye betting wapo sana tu mbona
Nilocho maanisha ni kwamba nikazi ngumu sana kumshinda bookies
Ili kampuni ya betting iendelee kuwepo ni lazima wakamalia wapoteze sana
Inasadikika wakamalia huwin kwa asilimia chini ya 20
Mtihani upo hapo kuwa miongoni mwa hao asilimia 20
Kwahiyo mkuu kabla ya VAR haijaanza kutumika wewe ulikuwa unapiga mamillion kila weekend sio.Hao hawaongi timu wanahonga mtu anaeamua matokeo ambae haonekan kwa mashabiki huyo mtu anaekuwa manVAR huyu wazee wa mipango wanamfata wanamseti.
Pia sikuhizi timu zinanunuliwa Kama kawaida nenda Russia, China, Japan, Czech,Greece, italy, German, France league 2, English leagues 1,2,3,4,5,6, Spain laliga 2,3,4, nazingine nyingi huko
Hawa jamaa wanadatabase ya kila metchi option gan imechezwa Sana kuliko kabla ya mechi jiulize uturuki timu zote kubwa zimepigwa Galata, bekistas, na huyu wa Jana instabul baking bado leo fenebache
Uzuri mpira hauchezwi chumbani kila kitu kipo wazi. VAR haina miaka mitatu je hapo kabla walikua wanawin?
kama mtu anaona timu kubwa hununuliwa ili kuwala wengi bac aamue kila wikend au timu kubwa.
kubet ni kubashiri yajayo ni imani jengefu ya kimazingira.
Ni sawa uambiwe tabiri hali ya hewa kesho bila vifaa, kimazoea utasema jua linawaka ikitokea mvua mtu atasema uchawi.
BET KISTAARABU Muhindi hataki hasira au kumpangia matumzi kabla ya kushinda mpunga wa maana.
Unge connect hii hadithi yako ya mabilionea na kumuhonga Var inge leta maanaUnafikiri wacheza kamari wanainvest Bei gan kwenye huu mchezo
Kuna vitu vingi Sana nyuma ya pazia kuhusu uchafu wa hongo kwenye hi biashara.
Nafkir hata ukiuluzwa tajiri mkubwa duniani utasema n bill gates au wale jamaa wa Amazon, na Alibaba kumbe sio kunawatu pesa zao haxipo kwenye vitabu pesa zao n chafu Sana na wanaenda kuzisafishia kwenye kamari.
Soma stori za kina Roman abromovich, kina Putin, hata ya kagame tuu, au michezo ya rostam axiz ndo utajua kuwa Kuna watu wanamihela na bado wanaitaman sh kumi ya maskin
Kwahiyo mkuu kabla ya VAR haijaanza kutumika wewe ulikuwa unapiga mamillion kila weekend sio.
Jana nimecheka sana, kuna mtu alimpa crystal palace over 4.5 corner kipindi cha kwanza tu crystal palace alikuwa na corner 4 tayari, jamaa akatiki mkeka teyari kipindi cha pili crystal palace hajapata corner hata moja na mkeka ukachanika.
Ingelikuwa ni wewe umebet hivyo sijui ungesemaje
Watu wakiambiwa fixed zipo hawaamini wanalia tuuu eti utapeliNimeandika ninachokijua VAR ya England hii ilionza wiki Jana sio Kama VAR iliotumika Africa au world cup uingereza wanafuata Kama ilvyoandikwa hawapindishi Jambo lakin ukiangalia na ukaistudy vizuri kwa gamehz chache zinambeba bookies nasio mkamaria
Mimi sijaanza kubeti leo nipo namiaka Zaid ya kumi enzihzo tunaenda pale newafrica hotel hvyo nikikwambia kanunuliwa kwstimu ujue kupo tenasana tuu fixed zimo Sana enz zile ila saiz zipo ila kwa usir mkubwa Sana Yan tangu blatter kaondoka wenye mipira huko wakaanza kumwaga alichoshikilia Kama n unga anamwaga, jiko anavunja, mwenye glass anapasau Yan tukose wore ndomana huku Africa fixed haziji na zimekuwa ghali Sana kuzipata.
Pale Ladbrokes watu walikuwa wanaweka Hadi USD 50,000 Yan game Moja mtu anaweka USD 5000 Mara 10