We unazo?Watu wakiambiwa fixed zipo hawaamini wanalia tuuu eti utapeli
Watu wakiambiwa fixed zipo hawaamini wanalia tuuu eti utapeli
Comments fupi fupi jamani ...
Odd zote zinatoka kwenye source moja kuzuia arbitrageTimu kubwa hazinunuliwi Bali zinalazimishwa kutokushinda au kutoa matokeo yaliyobetiwa kwa wingi tafuta ile video ya ile handball ya city angalia uniambie n ball to hand au n [emoji1714] handball
Sijasema city kanunuliwa mnielewe ila timu n nyingi zinanunuliwa.
Kila muda unavyozidi kwenda watu ndo wanaxid kuliwa na wanaxidi kuwa mateja wakudhan wanaweza shindana na bookies jiulize kwann sites xote huwa hazitofautian odds Yan huwa xinaendanaendana kwann hukuti leo pigabet wamempa Simba 1.5 na ukienda Ladbrokes unakuta Simba ana odds 4
Mkuu haya mambo tuyaache bana kila mtu aamini anavyo aminiFixed zipo na haziwez kukosekana ila AFRICA na watu wenye kipato chachin n ngumu kupata ila kipindi Cha blatter fixed tulikuwa tunaenda New Africa hotel pale tunasubiri wadosi waje wakija anakwambia leo man u anafungwa kipindi chakwanza full time anashinda au anakwambia Madrid leo droo kakope pesa ucheze kesho uumpe hell yake nakwel zinatoa.
Unafkir kibur Cha kina Mino Raiyola kinatokana na commission za kina Pogba na morinyo n kufanikiwa dili Kama hz ndomana wanaendesha magari makali na wanajeuri,kibur na nyodo za pesa kuzid wenye mpira wao.
Nenda India huko kunawahindi wanapesa mpaka wanaumwa sababu ya fixed
Jiulize timu za China zinapata wapi pesa za kusajili gharama vile wakati kwanza n taifa lililochipukia hv juz kwa utajir na mpira wa mguu kwa sio priority
mkuu jamaa wamefanyiwa come back na kikosi chao kabisa wakatiwa cha ushindi bila kufurukuta. aisee kwa namna hii bora matrain tu ya jero jero hii kuchukua game 2,3 unatia mpunga mrefu ni hatari saana... imagine wiki nzima odd3 tu mkeka unapasuliwa na tim moja. jana odd 2.4 psg anakimbia na pesa yanguUliamini anashinda au sio? [emoji23] [emoji23] hutoamini sana mzee... hamna mtu mwenye guarantee ya ushindi
Psg rennes anamsumbuaga sana hasa akiwa home hata akishinda ni kwa mbinde sanaUliamini anashinda au sio? [emoji23] [emoji23] hutoamini sana mzee... hamna mtu mwenye guarantee ya ushindi
Soma mzee wengine n walimu wachekechea wanatumia muda mwingi kuakikisha mtoto anaekewa.
Acha uvivu
Sio kama sijui kuwa fixed zipoFixed zipo na haziwez kukosekana ila AFRICA na watu wenye kipato chachin n ngumu kupata ila kipindi Cha blatter fixed tulikuwa tunaenda New Africa hotel pale tunasubiri wadosi waje wakija anakwambia leo man u anafungwa kipindi chakwanza full time anashinda au anakwambia Madrid leo droo kakope pesa ucheze kesho uumpe hell yake nakwel zinatoa.
Unafkir kibur Cha kina Mino Raiyola kinatokana na commission za kina Pogba na morinyo n kufanikiwa dili Kama hz ndomana wanaendesha magari makali na wanajeuri,kibur na nyodo za pesa kuzid wenye mpira wao.
Nenda India huko kunawahindi wanapesa mpaka wanaumwa sababu ya fixed
Jiulize timu za China zinapata wapi pesa za kusajili gharama vile wakati kwanza n taifa lililochipukia hv juz kwa utajir na mpira wa mguu kwa sio priority
Yani full magazetiComments fupi fupi jamani ...
Sasa mzee si ulete hizo fixed watu waamini?Watu wakiambiwa fixed zipo hawaamini wanalia tuuu eti utapeli
Mkuu direct win ni ngumu mno. Mie nakomaa na treni tu. Odds 3, 4, 5, 6 mpaka 7. Si kwamba nakula daily, hapana, ila nikila mmoja katika mitano, ni PESA.mkuu jamaa wamefanyiwa come back na kikosi chao kabisa wakatiwa cha ushindi bila kufurukuta. aisee kwa namna hii bora matrain tu ya jero jero hii kuchukua game 2,3 unatia mpunga mrefu ni hatari saana... imagine wiki nzima odd3 tu mkeka unapasuliwa na tim moja. jana odd 2.4 psg anakimbia na pesa yangu
Sio kama sijui kuwa fixed zipo
Mkuu sio sambusa kusema zinapatikana kirahisiSasa mzee si ulete hizo fixed watu waamini?
Watu wana bett kienyeji tuuNlikuwa nawaambia wale ambao wanakataa hazipo kupitia reply yako
Hii kitu kaka nilishaifanyiaga research, ni kweli washindi wa M-bet kwenye social networks kuwapata ni mbinde.. Hua inaonekana wazi washind wanapangwa. Siku hizi nimeitema M-bet nshaona wezi tuKipindi Cha 2015 kurud chin kupata 1m, sijui 2m, au zile 10 ilkua n kugusa wale jamaa wa 32 millions za premier bet Sana tuu.
Angalia jackop ya mbet inaliwa kinoma kuliko ya sportpesa jiulize kunan kama mbet apangi watu Yan Ela ikiwa nyingi anaset mtu anamtangaza fanya research washind wa jackpot ya mbet watafute kwenye social networks Kama utampata hata mmoja na washind wao wanatokea ikwiriri, kibondo, sikonge, Mara sijui Kijiji gan hakuna hata mmoja anajua social networks Yan majina ya washind wao hayamatch na huku mtaan ndo ujue huu n mchezo mchafu Kama unatafuta pesa ya kufanya maisha kupitia betting kwasasa n ngumu mno ukiotea mzee kimbia mbali Sana